Mke wangu ana tatizo la ngozi usoni vichunusi vinamsumbua sana kwa mda mrefu sasa,nimehangaika kwa kila namna bila mafanikio,je kuna mtu anaweza kujua aina ya dawa,au ushauri wa namna ya kuvitoa?,vinamsumbua sana mke wangu jmn vinaacha makovu yenye alama nyeusi,nisaidieni na hajawah kutumia mkorogo!!
Mkuu pole sana....ama kwa hakika unampenda mkeo...nani chaguo la moyo wako....endelea kumpigania mkeo...mkuu...
Apiganie vyote. Sio chunusi tu, lol
Apiganie vyote. Sio chunusi tu, lol
Staki ushahidiFafanua...twafadhali...
Apiganie na kitu gani tena ,,
Staki ushahidi
Mke wangu ana tatizo la ngozi usoni vichunusi vinamsumbua sana kwa muda mrefu sasa,nimehangaika kwa kila namna bila mafanikio,je kuna mtu anaweza kujua aina ya dawa,au ushauri wa namna ya kuvitoa?
Vinamsumbua sana mke wangu jamani vinaacha makovu yenye alama nyeusi,nisaidieni na hajawahi kutumia mkorogo!!
Mkuu pole sana....ama kwa hakika unampenda mkeo...nani chaguo la moyo wako....endelea kumpigania mkeo...mkuu...
Yaani nimefurahi sana,utadhani ni mume wangu.....wanaume wazuri bado wapo....watu waolewe bwana na wanaume ndio kama hawa. Tatizo la mkewe ni lake.
Kwa kuanzia atumie benzoyl peroxide 2.5 Ila tu awe mvumilivu kwamaana katika wiki 3 za mwanzo hali inaweza ikawa mbaya zaidi, ila hatikiwi kuacha kwa maana baada ya hapo matokeo yake ni mazuri sanaaa, atumie sabuni ya montclr au baby jonson na apunguze kule sweets kama vile pipi na biscuits, pia asiwe mwenye kuzitumbua maana huko ni kusababisha makovu na kuzalisha chunusi mpyabenzoyl peroxide ni nzuri pia.