sio lazima uoneshe sura yote ila eneo dogo ambalo hatuwezi kukutambua picha itasaidia
sio lazima uoneshe sura yote ila eneo dogo ambalo hatuwezi kukutambua picha itasaidia
Weka picha tukuone ili tuweze kukushauri vizuri. Lakini ujue ndio sura ulokuwa unataka hiyo. Mungu kakupa sura wewe unamkosoa. Hongera kwa kuwa na sura mpya.
duh!! Niliwahi kusikia hapahapa JF BIO OIL huondoa makovu...
Kwnz usivikamue kbs, lkn unaweza tumia dawa ya asili kbs haina madhara;chukua asali kijiko kimoja na juice ya tango lililosagwa na maganda yake kijiko kimoja changanya pamoja weka jikon iache ichemke kwa dk flan epua, iache ipoe pakaa usoni taratibu ,kisha iache km dk flan nawa uso na maji ya uvuguvugu kwa mbal. Fanya hivyo asbh na jion mfululizo km ck 4 alaf leta majibu.kumbk pi kusafisha uso kbl ya kupaka ili uondoe uchafu.
Mkuu,ushauri mzuri sana.Lakini,hizo dk flani ndo zipi? Pamoja na kuwa dawa asilia hazina madhara,lakini pia zina reaction. So nadhani ni vyema ukasema ni muda gani hasa,ili hiyo dawa iweze kufanya kazi vyema.