Tafadhari naomba msaada kwa yeyote anaejua dawa ya makovu sugu namaanisha ya muda mrefu naomba anisaidie kunijuza wapi dawa hiyo inapatikana na ni sh.ngapi.nimetumia Bio-oil haijanisaidia kabisa.
hebu weka picha jinsi yalivyo tuyaone!
lipo kama hili!Tafadhari naomba msaada kwa yeyote anaejua dawa ya makovu sugu namaanisha ya muda mrefu naomba anisaidie kunijuza wapi dawa hiyo inapatikana na ni sh.ngapi.nimetumia Bio-oil haijanisaidia kabisa.
lipo kama hili!
![]()
mkuu it is not my picture...halafu ujue huo ni mkono!!I love your pic!...
mkuu it is not my picture...halafu ujue huo ni mkono!!
ha ha ha mkuu jamaa nadhani alishahamisha mawazo!Hahahaha inamaana hakutakiwa apende mkono?
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.
Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
mkuu it is not my picture...halafu ujue huo ni mkono!!
lipo kama hili!
![]()
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.
Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.
Hakuna cream wala dawa inayoweza kuondoa kovu kubwa njia nzuri ni kufanya laser.
Tafuta hela uende hospitali ya Apolo India ndo kuna tiba nzuri sana.
Kule ndo kuna madaktali, hapa kwetu kuna wajukuu wa madaktari tu-hawana uwezo wa kutibu kabisa.