Mbontafo a.k.a habari zako lol
pole sana kwa tatizo ndugu.ila ila ila kama hilo kovu ni la moto usidanganywe humu kuwa eti ipo dawa ya kuliondoa kovu hilo plzzz.mimi niliungua mguu kama miaka 15 Ilopita sehem ya paja nilitumia dawa sana halikutoka nikaamua kwenda ccbrt na likaisha kabisaaa huwezjuakama niliwahi kuungua.
Nakushauri nenda pale ccbrt kuna wataalam wa kuondoa hayo makovu hata kama umepinda mdomo ama uso kutokana na kovu hilo unarudia sura yako kabisa.tena kuna wafadhili wanaofadhili huduma hiyo unachangia kidogo sana.mimi nilienda pale 2010 nilitoa only 75000
kwa huduma zoote tena watoto ni buree
Ameline Nashkuru Sna Ndg Yng Kwa Ushaur Wko,nitajitahd Kwenda Ccbrt Ckujua Kma Hii Huduma Wanatoa Ijapo Nilishafka Pale Mara Kadha.Naamin Yataisha Mana Yapo Uson Yanaonekana Hasa Katika Mashavu Na Uson Upande Wakulia Karibu Na Mwishio Wa Nywele Ki2 Ambacho Had Hv Sasa Nywele Hazijaota Vzr