health
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 325
- 39
Mimi ninafahamu namna ya kuyaondoa mabakamabaka yanayokuwa mwilini kwa kutumia lishe asilia. Kwa msaada waweza kuniandikia ujumbe katika ishealthy@hotmail.com
Mimi ninafahamu namna ya kuyaondoa mabakamabaka yanayokuwa mwilini kwa kutumia lishe asilia. Kwa msaada waweza kuniandikia ujumbe katika ishealthy@hotmail.com
Rub gently with cucumber then after half an hour rinse with warm water. Do it at least 3 weeks.Or pm me your mobile number for further details.
Bio oil inategemea ndugu yangu... Inaweza ikafanya kazi au ikadunda. Kwa kweli it depends.
Pole mwaya,wanakuja mimi napita tu.
Weka picha tukuone ili tuweze kukushauri vizuri. Lakini ujue ndio sura ulokuwa unataka hiyo. Mungu kakupa sura wewe unamkosoa. Hongera kwa kuwa na sura mpya.
ndugu
unyanyapaa haujengi!!