Bio oil ndugu yangu, kachupa saizi ya kati inauzwa 25,000. Yanapatikana Pharmacy ama kwenye maduka ya Vipodozi.
Jamani na mimi nina makovu ya vipele vya chunusi kwani yameacha alama nyeusi kwenye ngozi msaada kwa anayejua tiba kuondoa makovu ya chunusi
Bio oil inaweza kusaidia hata kovu la muda mrefu kama la ajali hvi msaada mkuu
Karibu ujipatie Udongo asilia UNAOTIBU matatizo mbalimbali ya ngozi
Bio oil inategemea ndugu yangu... Inaweza ikafanya kazi au ikadunda. Kwa kweli it depends.
Hapana bio oil kuna 60ml, 125ml, 200ml zinapatikana Jd pharmacy, bei nzuri haifiki 25000
nitapata wapi huo udongo? nipo Moshi serious nauhitaji kama unahakika utasaidia hata kama leo unifikie nipo tayari
Mmmh udongo asilia?
Zainab nahitaji huo udongo ila cjui km unaondoa makovu ya kuungua?
Huo tunatuma mikoani pia
nipe no. tuwasiliane hata kesho utume. vipi mjamzito anaruhusiwa pia kutumia?
Ni home remedy haina kitu kilichoongezwa Mtu yoyote anatumia.
Habari za jioni wanaJF,
Kwa anayehitaji dawa ya kutoa madoa doa usoni yatokanayo na chunusi na pia dawa ya kuondoa chunusi.
Wa mikoani pia wanapata siku inayofuata baada ya malipo
Tafadhali piga 0752976792
Ubarikiwe sana.
Sasa mimi hapo ndo nashindwa kuelewa.
Wale wa mikoani walipe kabisa hela ndio utume mzigo.
Haya ukiniwekea maji ya uhai nitakushitaki wapi?
Akili kumkichwa.