Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Umejipanga kupinga ndo Shidah yako, so hata kama njia ni rahisi utaiona ngum sababu haupo tayari kufanya praki.Hizo sio njia rahisi hizo ndio njia ngumu ambazo watu wameshindwa kuzitekeleza na ni njia ambazo ziko tangia kale. Tupatie njia rahisi