Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Hizo sio njia rahisi hizo ndio njia ngumu ambazo watu wameshindwa kuzitekeleza na ni njia ambazo ziko tangia kale. Tupatie njia rahisi
Umejipanga kupinga ndo Shidah yako, so hata kama njia ni rahisi utaiona ngum sababu haupo tayari kufanya praki.
 
Kama una kitambi au tumbo kwa mwanaume na huna muda wa mazoezi basi tiba imepatikana nimeijaribu kwa mwezi mmoja na nimeona matokeo chanya

Asubuhi ukiamka kunywa vifuniko viwili vya konyagi

Mchana kunywa vifuniko vinne vya konyagi

Jioni kunywa vinne vya konyagi

Pia usinywe maji ya barid hata siku moja kunywa maji ya uvuguvugu au ya kawaida

Wakati huo ukipunguza kula vyakula vya mafuta

Imefanya kazi kwa wanaume kwa wanawake sijui.

Utakuja kunishukuru siku moja
 
kuleni kuku mayai mboga samaki maziwa na kuweka mwili safi hiyo ndiyo afyaaaa njeeemaaaa........ wahenga mpooooo
hahahaha hii lishe ni nzuri ukiwa mtu wa mazoezi kdgo lakin kama ww ni mtu wa officn na kurud nyumban ni shidaaa
 
low
kama unakitambi au tumbo kwa mwanaume na huna mda wa mazoezi basi tiba imepatikana nmeijaribu kwa mwezi mmja na nmeona matokeo chanya

Asubuhi ukiamka kunywa vifuniko viwili vya konyagi

mchana kunywa vifuniko vinne vya konyagi

jioni kunywa vinne vya konyagi

pia usinywe maji ya barid hata siku moja kunywa maji ya uvuguvugu au ya kawaida

wakati huo ukipunguza kula vyakula vya mafuta

imefanya kazi kwa wanaume kwa wanawake sijui.

utakuja kunishukuru siku moja[/QUOTE
....
 
ukiweza hii utapungua sana shida ni misosi ya home labda kwa bachelors mara kuna pilau mara wali ndondo mara samaki sijui na ugali usipokuwa na msimamo unabwaga manyanga
asbh
mayai 2(kaanga) matunda na maji meengii kikombe cha kahawa bila sukari
mchana
nyama aina zootee/samaki/kuku na maji mengi na kachumbari
usiku
nyama aina zoootee/samaki/kuku na maji mengi na kachumbari
hakikisha huli wanga wowote yaani ugali mikate mandazi chapati keki soda bia kunywa gin kidogo tu kaglasi wikiendi siyo libapa
nyama usikomeleshee walau isizidi nusu kilo au nusu kuku samaki mmoja au wawili kula mafuta yeyote kwenye nyama kunywa michuzi yaani we kula mafuta unaweza weka humo na mboga za majani za kupikwa kwa mafuta yani usipunje mafuta
snacks
karanga mkono mmoja kwa siku
karoti moja mbichi
usile korosho
kunywa maji mengi uwezavyo ukiweza lile azam likubwa liishe
mazoezii fanya kiasi tuu yani yachangie asilimia 20 ya upunguaji wa mwili wako huku asilimia 80 ikitokana na vyakula unavyokula hata ushinde gym jua mwili wako haupungui sababu ya chakula unachokula
mpango huu unawafaa sana wale wenye group type O kwa wengine daahh ni kula mboga mboga zaidi huku nyama ukinyapia nyapia.tafuteni foods for blood type google
 
Tangu voroba vilipo pigwa marufuku, naona chupa kubwa zinazidi kuhalalishwa kila kukicha....
 
Vyuma vingekua havija kaza, bilashaka usinge pata muda wa kufanya huu utafiti....
 
Back
Top Bottom