Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

yaan nimeanza maji rasm my dia Winnysammy na nimeanza kula hiyo sup ya kabichi
 
Last edited by a moderator:
punguza chakula , mm nina urefu 180 cm nina kilo 88 , nimetuma 8 kwa miezi miwili
chakula sumu
 
Mim nina uzito wa kg 82, wakati nina urefu wa cm 166 jaman naomben msaada wa kijipunguza nimechoka.

MIMI NILIKUWA NAFANYA KAZI NA TAASISI FLANI HIVI YA AFYA NA NILIKUWA NAHUSIKA NA KUSIMAMIA PROGRAMU YA KUDHIBITI UZITO KWA KUTUMIA ULAJI NA MABADILIKO YA MITINDO YA MAISHA

TEMBELEA MTANDAO HUU UKAPIME BODY MASS INDEX THEN NJOO HAPA NA JIBU NIKUPE DAWA YA SIKU SABA TU

KUMBUKA UZITO ULIOPITILIZA NI TIKETI YA KUMUWAHISHA MTU KABURINI

Calculate Your BMI - Metric BMI Calculator
 
mkuu @ msamiati BMI 31.2 nipo tayar kwa dose mkuu, Mbwana nawe ulitumia hiyo supu ya kabichi au kitu kingine???
 
Last edited by a moderator:
Sumu ni kuruka Mlo kama unataka kupungua na Uwe Mwenye Afya Nzuri jaribu kufuata Masaa sahihi ya Mlo kama ni kifungua kinywa basi Kiwe kwa mda wake wa asubuhi Lunch Pia kwa mda wake wa mchana lakini ifikapo Jioni jaribu kula chakula chako cha jioni Masaa manne Kabla hujaenda Kulala na jaribu kula vyakula vyepesi Wakati wajioni i mean before u sleep Kitu kingine achana na sukari na ujaribu Kutumia asali badala ya sukari
 
sasa @my winnysammy hilo nalo neno,ratiba yang ya mlo iko hv asbh mara nying huwa cli chochote,saa 7 huwa nakula pilau samak mara nying, jion kitu cha wali saa 2 kamili ucku na matunda kidogo,wala cli kivile ila mwili daaahh nakosea wap hapo asante,
 
Unapokosea Ndugu Yangu ni kula wali usiku jaribu kutokula starch usiku wali Au ugali Au mkate ni Source Kubwa ya starch that One u have to avoid badala Ya kula chakula usiku jaribu kula matunda na maji moto usiku peke Yake yaani Hiyo Jioni Kabla hujalala.
 
Thnx Winnysammy leo kitu cha supu ya kabich ukiniona utafikili nakula sumu daaah,, ntajitahid kuacha kula ucku my dia asante mno mungu akupe zawad nying dis year
 
Last edited by a moderator:
Thnx Winnysammy leo kitu cha supu ya kabich ukiniona utafikili nakula sumu daaah,, ntajitahid kuacha kula ucku my dia asante mno mungu akupe zawad nying dis year

Jitahidi I know it will work nilikua na tatizo Hilo kwa hiyo naamini ni Njia itakayokusaidia sana usisahau Kunywa maji ya kutosha
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mwanajamii. Tatizo la kupunguza unene limekuwa gumu kwa walio wengi kutokana na ugumu wa masharti ya kufuata ambayo yanatakiwa katika hatua za kupunguza unene mfano kwenda geam, kujizuia kula nk. Pia wapo ambao wanaweza kufuata masharti lakini bado hawapungui kwa namna wanavyotaka. Mimi ningependa kutoa ushauri huu mzuri wa kuweza kupunguza kilo kuendana na unavyopenda mwenyewe bila kufuata masharti kwa kutumia tu lishe iliyoandaliwa kiasilia na kufanyiwa utafiti wa muda mrefu na kuonekana kuwa na mafanikio mazuri sana katika kujenga afya. Fuatilia hii lishe muhimu kwa ajili ya kupunguza uzito.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY

Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX

Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.

Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.

Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 82
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 77
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 74
Jitahidi I know it will work nilikua na tatizo Hilo kwa hiyo naamini ni Njia itakayokusaidia sana usisahau Kunywa maji ya kutosha

mpendwa narudisha taarifa nimepungua kg 4 leo cku ya 6 daah nimefurah sn sn nakushukuru kwa kunipa moyo
 
mpendwa narudisha taarifa nimepungua kg 4 leo cku ya 6 daah nimefurah sn sn nakushukuru kwa kunipa moyo

Wow am so happy for u dear keep on moving if u need a food timetable let me know I know u will make it to the kilo u need nimefurahi kusikia taarifa hizi nzuri
 
Back
Top Bottom