Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

mi sinakitambi but najitahidi kubaki kwenye mwili niliokuwa nao nina njia yangu natumia Levothyroxine a.k.a thyroxine a.k.a tatraiodothyronine "T4 "... waliopitia med school wakiangalia mechanisms behind T4 wataelewa how genius am i , but siwezi nikakushauri utumie hii njia unless u have a back ground of a medical knowledge ...

fata link uliyopewa hapo juu nimeipitia ipo more safe ...

"si kimwingiacho mtu tumboni kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Maana kimuingiacho hupita tumboni na kwenda kutupwa chooni, lakini kimtokacho ndicho kinachoujaza moyo. Moyoni hutoka husuda, ugomvi, wivu, tamaa mbaya, ibada ya sanamu etc". Sikumbuki ni mstari gani wa biblia umeaandika haya, but nataka kujaribu kuwarekebisheni tu kwamba Yesu alisharuhusu kula kila kitu.
Kuna mstari katika warumi unasema: chochote ufanyacho kwa imani kifanye iwapo nafsi yako haikuhukumu wala humkwazi mwenzako. Kula nguruwe si dhambi iwapo nafsi yako haikuhukumu na wala humkwazi jirani yako. Maana haifai jirani yako atende dhambi kwa ajili yako. Misitari nimeisahau. Lakini mkitaka evidence basi nitaitafuta hii misitari iliko.

Wanadamu kwa kuhalalisha dhambi hamjambo. Shetani siku zote amekuwa kinyume na maagizo ya Mungu, amefanikiwa sana kuwadanganya wanadamu. Wanadamu wanapenda kuchagua baadhi ya maneno kwenye Biblia na kuyapindisha maana ili kujihalalishia uchafu na uasi wao kwa kutimiza tamaa za miili yao. Lakini kumbukeni kuwa neno la Mungu kamwe halibadiliki na maagizo yake na amri zake hudumu milele.

Kuna baadhi ya mistari ikiwabana mnasema ni ya agano la kale imepitwa na wakati, but kuna mingine inayowapendeza mnasema ni sahihi. Hebu someni na hii ila na yenyewe msiseme tu kuwa zilikuwa sheria za Musa ziligongomelewa msalabani, manake ndio msemo wenu huo kuhalalisha dhambi... ISAYA 66: 15-17. ISAYA 65: 2-7.
 
Kwa Kumsingiza wewe Uongo kuwa Bwana YESU aliruhusu kila kila kitu ni uongo mkubwa iweje Bwana YESU aruhusu kula kitu? basi itakuwa huyo Bwana YESU ni Feki hakutumwa na Mwenyeezi Mungu.Aliyeruhusu kula kitu ni

Mtume Feki Paulo kwa maana alikuwa ni mtume Feki Paulo,ikiwa ataruhusu Bwana YESU kula kitu basi atakuwa huyo Bwana Yesu haifuati sheria ya Mtume mussa kuruhusu kula kila kitu basi hata mbwa paka,fisi nyoka utakuwa wewe

unakula?hakuna katika kitabu kianachosema kuwa Bwana YESU aliruhusu kula kia kitu hebu nionyeshe wewe katika Biblia ni wapi aliruhusu Bwana YESU kula kila kitu? Mkuu v acha kusema maneno ya uongo ya kumsingizia Bwana Yesu eti ameruhusu kula kila kitu.
 
Wanadamu kwa kuhalalisha dhambi hamjambo. Shetani siku zote amekuwa kinyume na maagizo ya Mungu, amefanikiwa sana kuwadanganya wanadamu. Wanadamu wanapenda kuchagua baadhi ya maneno kwenye Biblia na kuyapindisha maana ili kujihalalishia uchafu na uasi wao kwa kutimiza tamaa za miili yao. Lakini kumbukeni kuwa neno la Mungu kamwe halibadiliki na maagizo yake na amri zake hudumu milele.

Kuna baadhi ya mistari ikiwabana mnasema ni ya agano la kale imepitwa na wakati, but kuna mingine inayowapendeza mnasema ni sahihi. Hebu someni na hii ila na yenyewe msiseme tu kuwa zilikuwa sheria za Musa ziligongomelewa msalabani, manake ndio msemo wenu huo kuhalalisha dhambi... ISAYA 66: 15-17. ISAYA 65: 2-7.
Mkuu hebu wewe uwaambie ukweli wapate kuamini Wanamsingizia Bwana YESU kuwa ameruhusu kila kitu basi hata kama

Mbwa,paka,fisi,nguruwe ,simba ,chura na mijusi wote hao ni vitoweo tu tuwe tunakula kwa sababu Bwana YESU

ameruhusu tule ehhh kasheshe kweli dini hizi zingine ni Feki Viongozi wa kanisa wanalifumbia macho agano la kale wao

kazi yao kubwa kusoma makanisani agano jipya agano la kale kwao limepitwa na wakati kwa sababu huko Agano la kale kuna sheria na hao viongozi wa kanisa hawataki kufuata sheria ya mussa kazi kweli.
 
relax, i mean husijulishe na kitu chochote au kama ni kazi hacha! kitakata fasta!
 
Tumia majani na matunda kama Breakfast,lunch and dinner, extend hizo 3 ziwe tano,angalia hitaji la mlo wako kwa siku,gawa hicho cha kula cha siku mara tano,kunywa maji mengi sana,isiwe chini ya lita 3 kwa siku.

Waweza tumia mboga mboga na matunda kwa siku sita za juma,ndani ya hizo siku sita waweza kuchanganya na mshikaki mmoja mara moja ndani ya hizo siku sita.

siku ya saba waweza kula kiasi cha kukutosha cha carbohydrate.

ni hakika kama utasahau kula kula hovyo ukafuata ulaji wa aina hii utafanikiwa,usikae na njaa,kukaa na njaa hakusadii kupunguza mafuta mwilini
Ushauri mzuri sana.

Kuongezea:Epuka kula/kunywa vitu vya sukari kama maandazi,juisi na soda badala yake kunywa maji kama ulivyoshauriwa hapo juu.Kama ni mtu wa pombe punguza.

Kosa kubwa wanalofanya watu wengi,anakula kama ulivyoshauriwa hapo juu kwa siku mbili siku ya tatu anaji reward na kitimoto na bia za kumwaga au akitoka GYM breki ya kwanza kwenye stuli refu na nyama za kuchoma.Kama unataka kuona result ni lazima ufuate huo ushauri kila siku na kwa muda mrefu. Na usitegemee baada ya wiki ukijiangalia kwenye kioo utaona six packs.

Diet na mazoezi ya tumbo(kidogo) lazima kitambi kitakwisha
 
Unajaribu kuwatisha watu,yule ambaye imani yake haimzuii mwacha ale kwani nguruwe hana madhara makubwa kama unavyojaribu kuwaaminisha watu,nyama ya nguruwe ipo kwenye kundi la nyama nyeupe ambazo mwilini mwa binadamu hazina madhara makubwa kama nyama nyekundu.
Mkuu sijaribu kuwatisha Watu wewe kama una ona ni sawa kula nyama ya Mbwa,paka,nguruwe,nyoka,simba chura panya kula tu hakuna anayeweza kukuzuia ila

nitasema ukweli kuna Wanyama wengine Mwenyeezi Mungu amewaumba waje kuishi na binadamu kwa faida zake Mungu hakukosea kuwaumba nyoka chura simba panya nguruwe,punda na kadhalika wewe ukiona kula nyama ya mbwa au fisi

au Paka au Simba au Nguruwe kwako wewe ni sawa kula tu lakini kile kilichokatazwa na aliye umba yaani Mwenyeezi Mungu lazima nitakisema ukikasirika shauri yako utajijuwa mwenyewe.
 
Mkuu hebu wewe uwaambie ukweli wapate kuamini Wanamsingizia Bwana YESU kuwa ameruhusu kila kitu basi hata kama

Mbwa,paka,fisi,nguruwe ,simba ,chura na mijusi wote hao ni vitoweo tu tuwe tunakula kwa sababu Bwana YESU

ameruhusu tule ehhh kasheshe kweli dini hizi zingine ni Feki Viongozi wa kanisa wanalifumbia macho agano la kale wao

kazi yao kubwa kusoma makanisani agano jipya agano la kale kwao limepitwa na wakati kwa sababu huko Agano la kale kuna sheria na hao viongozi wa kanisa hawataki kufuata sheria ya mussa kazi kweli.

Mkuu shetani amefanya mioyo ya wanadamu kuwa migumu ili apate kuangamia nao. Sheria zilizofutwa ni zile tu za adhabu za papo na hapo, na ile ya hema la patakatifu pa patakatifu kuhamishiwa mbinguni. Na ile taratibu zote za kafara kufutwa na badala yake YESU ndiye alifanyika kafara mbadala.

Mungu wetu siyo kigeugeu na neno lake kamwe halibadiliki, waache wanadamu waendelee kujifariji kwa kuhalalisha uovu but mwisho wa yule mdanganyifu shetani u karibu na ujira wao wataupata.

Wanatumia kile kisa cha kwenye matendo ya mitume jinsi Petro alivyokuwa akifunuliwa maono juu ya injili kusambazwa kutoka kwa wayahudi na kwenda kwa mataifa, pale alipoambiwa aende kumwelekeza Colnerio kuhusu yampasayo kufanya. Ila hawataki kusoma kisa kizima ili wapate ufafanuzi zaidi.
 
Matendo 10:9-29, hapo ndipo panapotosha wengi, wao wakisoma wanaishi tu lile fungu la 15. Lakini maana halisi ipo fungu la 28. Na wala haikuwa na maana kuwa MUNGU alihalalisha kula vyakula alivyokataza tusile. Kila MUNGU anapotoa maagizo au maelekezo fulani basi shetani huja na second option kuwaghilibu wanadamu.
 
Binafsi nahitaji saana kupungua hususan kitambi.

cruciferous-veggies.jpg

Kula cruciferous plants zikiwa mbichi mbichi hasa broccoli,cabbage na cauliflower. Unachemsha maji kwa muda mpaka yana chemka halafu weka hizo mboga kwa dakika mbili hadi tatu au hadi broccoli zina kuwa kijani iliyoiva (dark green). Hii ni kwaajili ya kuuua vijidudu na kuzilainisha kidogo. Hutakiwe kuzichemsha zaidi ya hapo kwasababu zitaharibika (denatured).

Hizi cruciferous plants zinahitaji nishati kubwa kuwa digested kwahiyo ni nzuri ku break down fat ili itumike kudigest. Pia kutokana na kutumia muda mwingi kuwa digested tumbo halipeleki taarika upesi kwenye ubongo kuwa unahitaji kula tena (njaa). Kwahiyo ukila broccoli kidogo utapunguza kitambi haraka.
 
Mzizimkavu mie nikinywa maji asubuhi najitahidi yawe ya uvugu vugu ..naweka limao kidogo lakini lazima yarudi kama yalivyoingia
Na mida yenyewe unajiandaa kwenda job ndo unakunywa hayo maji kazi kweli
Pili naona kama wewe unazidisha malimao sana.
Nadhani yana madhara .naomba ufafanuzi juu ya hili.
 
View attachment 49862

Kula cruciferous plants zikiwa mbichi mbichi hasa broccoli,cabbage na cauliflower. Unachemsha maji kwa muda mpaka yana chemka halafu weka hizo mboga kwa dakika mbili hadi tatu au hadi broccoli zina kuwa kijani iliyoiva (dark green). Hii ni kwaajili ya kuuua vijidudu na kuzilainisha kidogo. Hutakiwe kuzichemsha zaidi ya hapo kwasababu zitaharibika (denatured).

Hizi cruciferous plants zinahitaji nishati kubwa kuwa digested kwahiyo ni nzuri ku break down fat ili itumike kudigest. Pia kutokana na kutumia muda mwingi kuwa digested tumbo halipeleki taarika upesi kwenye ubongo kuwa unahitaji kula tena (njaa). Kwahiyo ukila broccoli kidogo utapunguza kitambi haraka.

Hii menu inaenda na nini

Usijenambia unakula hiyo unashushia maji au juice siku imeisha ..
Roho zitatoka
Asante mungu kwa kunibalance ka mwili lasivyo ningepata BP ..kwa vyakula hivi ...:wink2:
 
Hii menu inaenda na nini

Usijenambia unakula hiyo unashushia maji au juice siku imeisha ..
Roho zitatoka
Asante mungu kwa kunibalance ka mwili lasivyo ningepata BP ..kwa vyakula hivi ...:wink2:

FL, (nje ya topic) please badilisha hiyo signature yako, maana INAPOTOSHA!
 
Hii menu inaenda na nini

Usijenambia unakula hiyo unashushia maji au juice siku imeisha ..
:wink2:
La hasha, hapa nilikuwa na msaidia Rock City kuongeza vyakula vya kupunguza kitambi na wala siyo kuleta vionjo vya mlo kamili. Anaweza kula vyakula vingine lakini aongeze hizi mboga na uliangalia vizuri mleta mada alikuwa haongelei balance diet bali vyakula vya kupunguza tumbo.

FL Cruciferous Vegetables na hasa broccoli zinajulikana kwa kuwa na sifa za nutrients nyingi na pia kuzuia kansa. Jielimishe zaidi dada.
 
Back
Top Bottom