Samrespect2main
Member
- Jun 25, 2014
- 29
- 20
Hiyo barua inaandikwa kwa mkono then nascan au iwe typed mkuu?Andaa vyeti vyako vyote na uviscan kila cheti kiwe peke ake katika mfumo wa pdf
Na pia barua nayo uiandae uisca..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo sina jibu kamili maana wenyewe wamehitaji barua lkn hawasem kam iwe typed au handwriting
Ndiyo haifunguki, mie tayari nimetengeneza account but ukiweka username na password hawaleti option ya Ku log in
Ndiyo haifunguki, mie tayari nimetengeneza account but ukiweka username na password hawaleti option ya Ku log in
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia barua haihitajiki...mkuu siku nyingine kama hujui mambo kaa kimya acha wajuvi wa mambo ndo wachangie...kama barua haihitajiki ukiingia kwenye account sehemu ya application letter uta upload nini???Barua haiitajiki hapo...weka vyeti vya taaluma,ujuzi na cha kuzaliwa....baaaaas
Sent using Jamii Forums mobile app
Barua haiitajiki hapo...weka vyeti vya taaluma,ujuzi na cha kuzaliwa....baaaaas
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ishu ya kuandika barua ina utata, ukiangalia kipengele D kwenye tangazo la ajira wameandika vyeti vya taaluma, utaalamu na kuzaliwa ila hawajaandika barua..
Asante mkuuMkuu barua haitypiwi usije ukafanya kosa hilo.
Hakikisha unaiandika vizuri kwa mkono na unaisaini then unaiscan
(Sisemi kwa kubahatisha mimi ni mdau wa hili)
kwani kuna shida gan kama utatype barua yako? na je lazima iwe kwa kiswahili au kuna umuhimu kuiandika kwa english? naomba unijibie mkuu!!!Mkuu barua haitypiwi usije ukafanya kosa hilo.
Hakikisha unaiandika vizuri kwa mkono na unaisaini then unaiscan
(Sisemi kwa kubahatisha mimi ni mdau wa hili)