Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

Maelezo yako wazi sanaa!!! ukiingia kwenye link yao (tamisemi) inajieleza..... so we tumbukia ujaze madude ule shavu la anko
 
Hii ishu ya kuandika barua ina utata, ukiangalia kipengele D kwenye tangazo la ajira wameandika vyeti vya taaluma, utaalamu na kuzaliwa ila hawajaandika barua..
 
Barua haiitajiki hapo...weka vyeti vya taaluma,ujuzi na cha kuzaliwa....baaaaas

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ishu ya kuandika barua ina utata, ukiangalia kipengele D kwenye tangazo la ajira wameandika vyeti vya taaluma, utaalamu na kuzaliwa ila hawajaandika barua..

Yani ninawausia Siku yoyote, pahala popote munapoona ombi la ajira na mukataka kuomba basi kama umeambiwa au hukuambiwa uandike barua! Wewe ni wajibu wako kuandika barua.

Usipoandika barua basi utatupiliwa mbali kwani itakuwa umepeleka vyeti tu lakini hukuomba kitu kwani BARUA NDIYO YENYE OMBI LA AJIRA (APPLICATION LETTER).

Ajira unaomba kwa kutumia barua, vyeti ni ushahidi tu wa kuonesha taaluma yako.

Narudia tena hata kama hukuambiwa uandike barua basi andika.

Barua ni lazima sio hiari
 
Mkuu barua haitypiwi usije ukafanya kosa hilo.

Hakikisha unaiandika vizuri kwa mkono na unaisaini then unaiscan

(Sisemi kwa kubahatisha mimi ni mdau wa hili)
kwani kuna shida gan kama utatype barua yako? na je lazima iwe kwa kiswahili au kuna umuhimu kuiandika kwa english? naomba unijibie mkuu!!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom