Uzi mzuri sana. AI siyo pesa yenyewe, ni chombo cha kutengeneza huduma zinazolipika. Unaweza kuitumia kwenye graphic design, content, matangazo, CV, translation, research, coding na social media management.
Cha muhimu ni kuangalia tatizo gani unaweza kutatua kwa AI ambalo watu wako tayari kulipia. Wadau wenye experience ya kupata kipato kupitia AI watupe mifano halisi ya walichofanya na walipataje wateja.