Jinsi ya kumweleza msichana unataka kumwoa

Kamwambie hivi; I love you babe, I have no life without you.
 
Unataka kuolewa na nani G! Funguka bana lol!
A%20S-coffee.gif

Mi' staki kuolewa na wewe :lol:
 
Ninakupenda sana kiasi ambacho napenda kufunga pingu za maisha nawe au kwa kifupi nataka kukuoa na siyo KUKUWOWA!!! lol!

Unamwambia "ninataka kukuoa," kisha unasubiria jibu
 
Ninakupenda sana kiasi ambacho napenda kufunga pingu za maisha nawe au kwa kifupi nataka kukuoa na siyo KUKUWOWA!!! lol!

Too long, and time is money. Watu hawana muda wa kusikiliza risala nzima siku hizi

Mwanamme get to the point. Alaaah! Ndoa kimsingi ni mkataba, tusibabaishane kwa maneno mengi, let's be clear and get straight to the point

Manake kwanza usijekuingizwa Chaka kwa vile hujui tofauti ya kuolewa na kuwolewa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhh! hahahahah lol! unapenda short cut eeh!! haya wengine ukiwa short cut hawakawii kulalama yule nanihii amepropose eti anataka kunioa, lakini hata hakuwa romantic yaani mie hata sikupenda kabisa. Nimemwambia anipe muda nifikirie...sasa hapo njemba inaanza kuwa na wasiwasi jibu litakuwa ni YES au NO.

Too long, and time is money. Watu hawana muda wa kusikiliza risala nzima siku hizi

Mwanamme get to the point. Alaaah! Ndoa kimsingi ni mkataba, tusibabaishane kwa maneno mengi, let's be clear and get straight to the point
 
Last edited by a moderator:
Mhhh! hahahahah lol! unapenda short cut eeh!! haya wengine ukiwa short cut hawakawii kulalama yule nanihii amepropose eti anataka kunioa, lakini hata hakuwa romantic yaani mie hata sikupenda kabisa. Nimemwambia anipe muda nifikirie...sasa hapo njemba inaanza kuwa na wasiwasi jibu litakuwa ni YES au NO.

Bila ya shaka lazima uangalie na huyo Bi.dada unaetaka kumtangazia nia. Kama ni mtu wa Nigerian movies na Bongo movies kwa sana, hakikisha umesogea na tenga zima la maneno kama si shehena nzima!

Mtu mwenye kuongoza likampuni lake anaefikiria kila kitu in numbers (zeros mostly) hana muda huo. Bora fuga maneno yako hadi baada ya kukubaliwa (kama hujakubaliwa, don't waste your breath)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bi dada wengi wa siku hizi ndio wako hivyo Bongo na Nollywood movies kwa sana hao wasiotaka ushushe tenga zima la maneno LoL! ni nadra sana kuwapata ukija na shortcut utastukia mrembo si wako halafu unashuka JF kuja kulalama na kujifanya wewe si mhusika bali ni 3rd party...Kuna jamaa yangu katendwa na binti walikuwa nae miaka fulani sasa katangaza ndoa lakini binti kaingia mitini inasemekana anaolewa na jamaa mwingine mwezi ujao...Naomba mnipe ushauri ili nikamshauri afanye nini maana amechanganyikiwa kupita kiasi....chezeya kitu kingine lakini siyo penzi.

Bila ya shaka lazima uangalie na huyo Bi.dada unaetaka kumtangazia nia. Kama ni mtu wa Nigerian movies na Bongo movies kwa sana, hakikisha umesogea na tenga zima la maneno kama si shehena nzima!

Mtu mwenye kuongoza likampuni lake anaefikiria kila kitu in numbers (zeros mostly) hana muda huo. Bora fuga maneno yako hadi baada ya kukubaliwa (kama hujakubaliwa, don't waste your breath)
 
Inaelekea hata binti mwenyewe hauna mahusiano naye ndio maana inakuwia vigumu, kama ndiyo hivyo wala husijaribu gear yako ya ndoa utaishia kuaibika. Jaribu relationship naye kwanza akichomoa hata ndoa hatotaka.
 
Bi dada wengi wa siku hizoi ndio wako hivyo Bongo na Nollywood movies kwa sana hao wasiotaka ushushe tenga zima la maneno LoL! ni nadra sana kuwapata ukija na shortcut utastukia mrembo si wako halafu unashuka JF kuja kulalama na kujifanya wewe si mhusika bali ni 3rd party...Kuna jamaa yangu katendwa na binti walikuwa nae miaka fulani sasa katangaza ndoa lakini binti kaingia mitini inasemekana anaolewa na jamaa mwingine mwezi ujao...Naomba mnipe ushauri ili nikamshauri afanye nini maana amechanganyikiwa kupita kiasi....chezeya kitu kingine lakini siyo penzi.

Sasa na wewe si ujifanye third party ushushe uzi mshkaji apewe ushauri? :D

Mwite The Boss aje amwage ufundi. Jungu Kuu halikosi ukoko, sie wengine holla!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! boss njoo huku uokoe jahazi kwa hisani ya G...aisee nimecheka sana LoL!

Sasa na wewe si ujifanye third party ushushe uzi mshkaji apewe ushauri? :D

Mwite The Boss aje amwage ufundi. Jungu Kuu halikosi ukoko, sie wengine holla!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom