Jinsi ya kumweleza msichana unataka kumwoa

Mengine yanategemeana na mazingira uliyomo na mwanamke unayemseduce,pia sidhani kama mwanamke unayetaka kumuoa utamkurupukia once unapomuona,you must by time walau kumsoma kidogo,ukishamsoma itakua rahisi sana kupata entry point,pia unapomface mwanamke usijikweze,be you na mambo mengine yataendelea kadiri mnavyozidi kuzoeana.iyo ni kwa upande wangu mimi ila naamini kuna different approaches za kumface mwanamke.
 
Kwa Wasichana wa leo na wenye upeo wala haina tabu sana. Wasichana wenye miaka 24+ na wanaojitambua wanachombeza mapema ili kujua hatima ya 'himaya' zao.
 
KWENU WENYE MAARIFA NA MSIO NA MAARIFA, KWA WALE WALIO KATALIWA NA WASICHANA WALIO TAKA KUWAOA NA WALE WALIO KUBALIWA.

NAPENDA KUULIZA NI VITU GANI VYA KUZINGATIA UNAPO TAKA KUMWAMBIA MSICHANA UNATAKA KUMWOA, AU NI STAILI IPI BORA YA KUMWAMBIA MSICHANA NA NI MAMBO GANI YA KUTOFANYA KABISA ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILI NA ?
NAWAKILISHA NA NAOMBA UZOEFU WENU.
A%20S%20shade.gif

Kabla kama hujafanya chochote jiulize wako wangapi? kapime naye kwanza kabla ya chochote, watu wanatembea wameoza siku hizi.
 
ndio mnapenda hiyo nasikia lol
za kibongo ndo nazijua zaidi mimi ...

kufanyiwa hivyo especially mbele za watu kunakufanya unajiona so special yani miongoni mwa watu wote..............The Boss za kibongo ndo zikoje.....labda nimeshawahi shuhudia ila sijafahamu vizuri kama ndo zenyewe
 
kufanyiwa hivyo especially mbele za watu kunakufanya unajiona so special yani miongoni mwa watu wote..............The Boss za kibongo ndo zikoje.....labda nimeshawahi shuhudia ila sijafahamu vizuri kama ndo zenyewe


za kibongobongo unaambiwa tu nimeona tu unanifaa
nitakuoa..lol na wewe unashkuru sana lol

hizo za movie hizo sio
za kibongo bongo unaambiwa alfajiri baada ya game lol
mko in bed lol
 
Inategemea umezoeana nae kiasi gani. Mie huwa napenda mtu aongee direct na sio kilikwenda na kurudi....Halafu mambo ya kutumia sms au chat kumwambia inaonyesha haup siriaz. Mwalike mahala penye heshima na umueleze
 
Back
Top Bottom