Jinsi ya kumweleza msichana unataka kumwoa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
KWENU WENYE MAARIFA NA MSIO NA MAARIFA, KWA WALE WALIO KATALIWA NA WASICHANA WALIO TAKA KUWAOA NA WALE WALIO KUBALIWA.

NAPENDA KUULIZA NI VITU GANI VYA KUZINGATIA UNAPO TAKA KUMWAMBIA MSICHANA UNATAKA KUMWOA, AU NI STAILI IPI BORA YA KUMWAMBIA MSICHANA NA NI MAMBO GANI YA KUTOFANYA KABISA ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILI NA ?

NAWAKILISHA NA NAOMBA UZOEFU WENU.
A%20S%20shade.gif
 
'utanioa'? Huku umeshikilia pete ya uchumba.

Tena pete inakuwa imefichwa fichwa, ila ufichaji huu unategemea na ubunifu wako,

kuna wengine wanaileta kwensahani imefunikwa hasa wale wa champagne breakfast.

wachaga wa rombo wamekuwa wabunifu zaidi wanaficha kwenye mayai, basi anakusaplaizi
 
Ww piga machine kwanza.... Ndoa ndio itafuata... Ukimfuata demu ukamwambia unataka kumuoa hata awe anakujua tangia UTOTO... halafu HUJAMVURUGA MACHINE... atakuona kichaa.... chapa ilale wanaita...
 
No formulae ,good night..................
 
Siku hizi dada akiona unachelewa anavaa pete mwenyewe then anakutambulisha kwa wazazi kwa gear ya kusema wamaumwa tukawaone, kabla hujahamaki unajikuta umeoa na mke yumo ndani lolz. Unabaki ukijiuliza hivi ilikuwaje kuwaje?
 
hahaha, Unanivunja mbavu mkuu.
 
'utanioa'? Huku umeshikilia pete ya uchumba.

Tena pete inakuwa imefichwa fichwa, ila ufichaji huu unategemea na ubunifu wako,

kuna wengine wanaileta kwensahani imefunikwa hasa wale wa champagne breakfast.

wachaga wa rombo wamekuwa wabunifu zaidi wanaficha kwenye mayai, basi anakusaplaizi

Ndo nini kuzalilisha vijana wa Mramba?

Njia nzuri ni kumwambia straight "Bibie nimechoka na biashara ya rejareja. unaonaje ukija kwangu nikulengemo kwa biashara ya jumla?"
 
Mnatumia njia ndefu sana..mjaze mimba halafuchayo mengine yatajijibu yenyewe
 
Mambo yamebadilika sana, nowdays wadada ndio huwaeleza wapenzi wao wanataka wawaoe, so ondoa shaka wakwako atakwambia pia!
 
KWENU WENYE MAARIFA NA MSIO NA MAARIFA, KWA WALE WALIO KATALIWA NA WASICHANA WALIO TAKA KUWAOA NA WALE WALIO KUBALIWA.

NAPENDA KUULIZA NI VITU GANI VYA KUZINGATIA UNAPO TAKA KUMWAMBIA MSICHANA UNATAKA KUMWOA, AU NI STAILI IPI BORA YA KUMWAMBIA MSICHANA NA NI MAMBO GANI YA KUTOFANYA KABISA ILI KUFANIKISHA ZOEZI HILI NA ?

NAWAKILISHA NA NAOMBA UZOEFU WENU.
A%20S%20shade.gif

How old are you??
 
1.Kwanza kaa chini jiulize ni kweli unampenda au unataka umdanganye? wasichana ni wana akili sana, akikuona kuna meseji nyingi anazipata hata kabla hujamwambia,
2.Jiulize kwanza umejiandaa andaaje? Master card unayo? future imekaaje?
3.Unataka uoe lini?
4.Je upo tayari kuwa wazi kwa rafiki zake na rafiki zako?

kama hayo upo tayari,
usiume meno tena, Mwambie ukweli ulipokuwa unakwenda umefika, Mshukuru Mumba kwa ajili uzuri wake, mwonekano, mwabie ukweli UNAMPENDA kama CV yako inasomeka na una kigezo kimojawapo anachotaka basi atakubali, BE WHO YOU ARE...
anyway huwa sina maneno mengi ya kumwambia msichana, zaidi kumwambia nampenda jinsi alivyo.. akinihoji zaidi namwambia i do not hv gud reason y i luvd u, but because yo have completed my happiness......

nina bahati mbaya sana, sijawahi kukataliwa...kwangu ni bahati mbaya kwa sababu sijakumbana na chalenji hiyo
japo wengi wanasema wanapenda vituko vyangu( utani+vichekesho)

kingine kama umesoma kitabu kiitwacho highly effective marriage by nancy,
amesema hivi wanawake wanahitaji:
crave affection
financial security
commitment
close and free talk
....n.k
 
umesema vyema.
 
Back
Top Bottom