Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

Ha ha ha....
JamiiForums-1433532926.jpg
 
Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongeya naye kikawaida.
Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba alafu kaa kimya.

Usichat naye wala kuongea naye chochote, wewe tulia kama hujui chochote tu. Siku nyingine ukipata tena unamtumia unatulia tena. Majibu utayapata tu baada ya muda mchache.

Siyo x tu, mwanamke yeyote unayemtaka wewe fanya hivyo tu, hakikisha awe anajua namba zako basi.

Utanishukuru.
Naomba nikupe namba yangu tuchatchat
 
Jina lako ni kwisha unataka na sisi tuishe, mbinu yako ufe nayo mwenyewe
 
Kupata mwanamke sio shida mara zote , shida ni majukumu ukiw anayo mengi unapoteza interest zaidi ya kujichosha na hayo mambo, maana hakuna mwanmke utayekuwa nae na mahusiano serious usimsaidie visenti vya hapa na pale pia mambo ya kizamani chat nying nayo yanaenda kupitwa na wakati
 
Back
Top Bottom