Aiseee!! Hivi huwa mnadhani mnaoa saints?? Hiyo comfortability huwa pande zote, we ongea na wanawake waliolewa watakuambia...Kuchepuka ni Choice Ila wanawake wanakua source mno they Get comfortable kisa kaolewa Unlike alivyokua enzi anawindwa
mwanamke asipotoa hela yake ataitwa kila jina. hana upendo, hana busara. mbinafsi. Eti si ukae nyumbani tu sasa?? utafkiri hizo kazi za nyumbani hafanyi japokuwa hakai nyumbani. ili mradi akukomoe tu.Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!
Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.
Sasa cheaplabour mnataka tuipate wapi??? Kama sio kwenu...binafsi pamoja na sababu nyingie za kuoa ila nategemea kula vzr from wife, kufuliwa, na vingine vyote...wavivu na wapenda cheap labor utawajua tu
Teh teh,kama ni hivyo basi mimi nitakuwa mlemavu..Mwanamke kaumbwa kuongea??,
ndo uoe mwanamke kwenye mtazamo kama wako.Sasa cheaplabour mnataka tuipate wapi??? Kama sio kwenu...binafsi pamoja na sababu nyingie za kuoa ila nategemea kula vzr from wife, kufuliwa, na vingine vyote...
..Its her responsibility,ndo maana Ya kuwa mama and its what the religious book even use to define a wise wife,HARD WORK!!!Aiseee!! Hivi huwa mnadhani mnaoa saints?? Hiyo comfortability huwa pande zote, we ongea na wanawake waliolewa watakuambia.
Mtambue kuwa baada ya kuoana wanafuatia watoto hivyo mama anajigawa kwa watoto na mume, haiwezi ikawa sawa na kabla mlivyokuwa wawili tu!!
Huyu mke ni mfanyakazi/mfanyabiashara(kama wewe) ila bado ni mke na mama, kweli kwa uzito huo wa majukumu bado hadi boksa unalilia kufuliwa!!!
Damn!!!
Hahaaaa!! Eti wanaongelea chura(utadhani waliziumba)!!mwanamke asipotoa hela yake ataitwa kila jina. hana upendo, hana busara. mbinafsi. Eti si ukae nyumbani tu sasa?? utafkiri hizo kazi za nyumbani hafanyi japokuwa hakai nyumbani. ili mradi akukomoe tu.
wao kufanya kazi za nyumbani basi wamepandwa kichwani, mwanamke hana heshima, hajui majukumu yake.
yani mradi wakuone una pilika nd roh kwatu, huku wao wamekaa , wanazungusha round wanaongelea chura.
naona muendelezo wa VITUKO tu kutoka kwa VITUKO.
Nipe mistari ya hivyo vitabu vya dini vinavyosema hayo ulosema...Its her responsibility,ndo maana Ya kuwa mama and its what the religious book even use to define a wise wife,HARD WORK!!!
UMEMALIZA KILA KITU NILICHOTAKA KUONGEA HUO NDIO UKWELI. Ambacho wanawake wengi hawaelewi ni kwamba tangia wanaolewa wanafanya machaguzi mabaya na hii ni kwa pande zote mbili, Ni vyema kuoa/kuolewa na wenza wenye woga na Mungu, ukipata mume wa aina hii utaepukana na mengi, ila hali imekuwa tofauti siku hizi tunachagua wanaume kisa ana elimu na pesa, mwenye woga na Mungu halaf hana pesa unakuta anaenda kuangukia kwa mwanamke ambae alishahangaika na wenye pesa umri umekwenda sasa anatafuta kuolewa unakuta si mke sahihi, na kwa mwanaume hivyo hivyo unakuta ameshahangaika na wanawake wenye sura na shape nzuri ndoa anatafuta binti wa watu aliejichunga na mwema n.k.Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
back then when women were just housewives...Its her responsibility,ndo maana Ya kuwa mama and its what the religious book even use to define a wise wife,HARD WORK!!!
Hahahaaaaaa!!!!back then when women were just housewives.
and working women still do HARD WORK.
Those books also COMMAND you to love your neighbor as your self, treat your wife like your own body, do unto others as you want them to do to you, to look out for other people's interests and not only your own.
And I'm very sure when the bible asked to observe ants and imitate them, it wasn't only taking to women.
umekaa na tunguli zako kabisa una quote vitavu kutetea uvivu wako!!!!!!
embu tumuulize sumbai wakati mkewe anatafuta hela, anatunza nyumba na kulea yeye anafanya Nini?Hahaaaa!! Eti wanaongelea chura(utadhani waliziumba)!!
Mwanamke anatakiwa kuwa robort na malaika pia, asikosee hata kidogo.
Asipofua boksa tu basi ni mada atajadiliwa hadi mitandao ya kijamii, wakati hilo furushi limetulia sebuleni linaangalia tv tu au yuko bar anazungusha rounds!! hata home work hasaidii watoto bado mama akishamaliza kumfulia boksa aje na homework asaidie watoto.
Wanaume wanajisahau kupita maelezo, wanawake ndio wanahangaika na familia kwa kiasi kikubwa siku hizi. Hizi kitchen party waanze kupeana sasa maana hali ni mbaya.
Ndugu yako ameshaanza mambo yake hahahahhHahahaaaaaa!!!!
asmaa80 si hadi uamini mungu ndo uwe na viwango vya maadili. MTU anyefanya mazuri anapotishiwa moto tu na sio kwa sababu kataka kufanya mazuri, HAFAI, not in this era.
Hahahaaaa!! Kwakweli watuambie tu hiyo biblia inayosema wawe wavivu.Ndugu yako ameshaanza mambo yake hahahahh
..kwaio kwa kwenda ofisini ndo circumstances zmechange au?![emoji23] [emoji23] [emoji23]back then when women were just housewives.
and working women still do HARD WORK.
Those books also COMMAND you to love your neighbor as your self, treat your wife like your own body, do unto others as you want them to do to you, to look out for other people's interests and not only your own.
And I'm very sure when the bible asked to observe ants and imitate them, it wasn't only taking to women.
umekaa na tunguli zako kabisa una quote vitavu kutetea uvivu wako!!!!!!
..sio hisani Ya upendo,its responsibility no wonder mme anaacha mke anafata HouseGirl,wives wa cku hizi longolongo nyingi they are meant to dwindle chini kabisa kwenye Chain,they should deal with It [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa!! Kwakweli watuambie tu hiyo biblia inayosema wawe wavivu.
'utakula kwa jasho'sasa ni vipi utakula pachafu na vyombo vichafu?? Utakwendaje kutoa hilo jasho na nguo zenye jasho la jana!!!
Tunafanya kwa hisani na upendo tu, wasifanye ndio majukumu yetu na tusipofanya watushikie bango. Bado na pesa wapangie bajeti!!! Kiruuuuu!!!