Sijui tatizo nini??? Kwa hiyo kupika vzr kwa ajili ya familia ni kumuendekezq mume??? Kufanya usafi ndio kumuendekeza mume?? Kwa wanawake wanaojua kwanini wameolewa hizo kazi hapo sio shida wala utumwa.Kifupi shughuli za nyumbani ni za mwanaume na mwanamke. Huwezi mwanamke ukajitwisha hilo jukumu ukidhani ndio unamlinda mume. Huky kunaitwa kudekeza mwanaume kitu ambacho ni kosa kubwa unalolifanya kwa mahusiano. Labda umsome mwenzio uone anapenda hivyo, ila nae hatakua mpenzi bali atakua bwana wako nawe utakua mtumwa wake.
Aiseeee.....kupatwa kwa mume. Ila kikubwa maelewano tuu. Siku ziendeExactly, za kuambiwa changanya na zako. Kuna wanaume ukijipikilisha pikilisha na kujifanya mnyenyekevu wanakuona weak. Mimi wangu ni hapa tunapelekana mbio ile mbaya, kupika zamu, kufua zamu, ananijua sipendi kuosha vyombo na namjua hapendi kupiga pasi. Na akileta za kuleta nampaka nami ananipaka. Kifupi tumeweka urafiki mbele. We compliment each other... etc.
hivi kumbe ukipewa hela unaona kakosa ujanja??JF mnajitutumua kweli, in reality mnasanda na hela mnatupa.. mkinogewa hamnaga ujanja.
Sijui tatizo nini??? Kwa hiyo kupika vzr kwa ajili ya familia ni kumuendekezq mume??? Kufanya usafi ndio kumuendekeza mume?? Kwa wanawake wanaojua kwanini wameolewa hizo kazi hapo sio shida wala utumwa.
Ushindwe kupika vzr au kufanya usafi kwa kusingizia ni majukum ya wote...ngoja sasa aanze kula hotelini na kuchelewa kurudi...
Wapo wanaocheza nafasi zao, wanawake wa shoka haswaa, but wanaume wao ni wachepukagi...Hujaambiwa umlinde ila play your roles...ikitokea kachepuka basi labda ni ule uchepukaj wa damuni ..ila wewe usiwe ndoo chanzo
mume kaingia jikoni anaangalia kabati anaona sahani zina vumbi hajawahi kuwekewa atumie hata siku moja basi anafura huyo anatoka nje kwa hasira anaenda kukaa bar atafute wa kuchepukia aondoe stress za kutotumia sahani...Huwezi kumlinda mume kwa vyombo!![emoji3][emoji3]
Hayo mafundisho sijawahi kuyaona humu, mmekazana na wanawake tuuu as if wamejioa!!Nyie ndio mliotakiwa mlete hoja za nini mnapenda ili mdumi na muwe waaminifu katika ndoa....
Mleta mada leo kaanza kwa kuwafunda nyie...huenda kesho akaja na yanayomuhusu mume
Alafu kwanini mkiambiwa kuhusu majukumu yenu mnasema ni utumwa??? Kupika vzr et utumwa....dah usafi pia utumwa???
😀 😀 😀nimeona zana za ulinzi zimewekwa nying sana
sasa ndo naona tu nifanye njia fupi!
ultimate security au kiboko sijui chui!
ahahahahahhaha ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama Mume wako anajua jiko lilipo mpe na diaba zote Aogee,he is One in a million na men hatunaga ujinga wa kuondoa stress kisa vyombomume kaingia jikoni anaangalia kabati anaona sahani zina vumbi hajawahi kuwekewa atumie hata siku moja basi anafura huyo anatoka nje kwa hasira anaenda kukaa bar atafute wa kuchepukia aondoe stress za kutotumia sahani.
yes....! Hapo umesema sasa. lazima ufanye majukum yako kama mwanamke. Akichepuka awe na sababu zakeWapo wanaocheza nafasi zao, wanawake wa shoka haswaa, but wanaume wao ni wachepukagi...
"Kuchepuka is a choice"
Nitatekeleza wajibu wangu kama sehemu ya majukumu yangu kama mke na kama mwanamke. Lakini sio ili mume asichepuke... Hii mentality ndio siitaki.
Kwa siku mwanamke anaongea maneno mangapi compared na mwanaume? Mbona mnataka tuwajua nyie tuuu ila nyie upande mwingine ziiiii!! No wonder mambo hayaendi.Mwanamke kaumbwa kuongea??,
Exactly swts.Wapo wanaocheza nafasi zao, wanawake wa shoka haswaa, but wanaume wao ni wachepukagi...
"Kuchepuka is a choice"
Nitatekeleza wajibu wangu kama sehemu ya majukumu yangu kama mke na kama mwanamke. Lakini sio ili mume asichepuke... Hii mentality ndio siitaki.
wewe unaona nyumba chafu kwanini usisafishe?Ushindwe kupika vzr au kufanya usafi kwa kusingizia ni majukum ya wote...ngoja sasa aanze kula hotelini na kuchelewa kurudi...
Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!mume kaingia jikoni anaangalia kabati anaona sahani zina vumbi hajawahi kuwekewa atumie hata siku moja basi anafura huyo anatoka nje kwa hasira anaenda kukaa bar atafute wa kuchepukia aondoe stress za kutotumia sahani.
Hamna sister. Inshu sio unaongea mara ngapi,ila unaongea nini hizo mara nyingi. Kila saa ni malalamiko, plus maneno ya ajabu ajabu, maneno ya kukeraKwa siku mwanamke anaongea maneno mangapi compared na mwanaume? Mbona mnataka tuwajua nyie tuuu ila nyie upande mwingine ziiiii!! No wonder mambo hayaendi.
wavivu na wapenda cheap labor utawajua tuyes....! Hapo umesema sasa. lazima ufanye majukum yako kama mwanamke. Akichepuka awe na sababu zake
..Kuchepuka ni Choice Ila wanawake wanakua source mno they Get comfortable kisa kaolewa Unlike alivyokua enzi anawindwaLikija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!
Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] security????Likija suala la pesa tunatakiwa tusaidiane ila kuosha vyombo ni majukumu ya mwanamke, sijui quran na biblia ndio vimeandika hivyo!!
Hawa watu wanadhani wanawake ni roborts!! Basi tutaweka security wakichepuka ni mkong'oto tu turahisishiane kazi.