Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Honey Faith , kumlinda mtu mzima ni sawa na kulinda bahari... Ukikaba huku kuna wanaovua kule.. Ukizunguka kule huku unawaachia..Tuache kudanganyanya huwezi mlinda mtu mwenye meno yake 32 ni ngumu sana
mi ndo nimeona tu niyafanye mafupi!Hizi hadithi za wanawake kudanganyana ndio maana kila siku wapigwa mimba, vibuti na talaka kwa sababu ya kuchukulia uzito mambo ya kuambiwa... every human being is unique.
Teh teh...knight support wapo vizuri zaidi, wanalinda mitambo ya tanesco pale ubungo. Sasa mpwa inabidi umuachie ale ashibe, labda humpi akashiba.nimeona zana za ulinzi zimewekwa nying sana
sasa ndo naona tu nifanye njia fupi!
ultimate security au kiboko sijui chui!
ahahahahahhaha upo mpwa?
Nyie ndio mliotakiwa mlete hoja za nini mnapenda ili mdumi na muwe waaminifu katika ndoa....Mbona huwa sioni mafundisho ya aina hii kwa wanaume? Au ndoa ni ya mwanamke peke yake?
Kwanini mwanamke atumie affort kubwa sana kuilinda ndoa as if ni yake peke yake?
Kwanini muwafanye wanawake wajione watumwa kwa ndoa zao? Hivi yule aloambiwa atumie akili, hiyo akili aitumia wapi?
Na hii mentality inaitafuna jamii kwa kiasi kikubwa sana, kiasi kwamba wanaume wanajiona kumuoa mwanamke ni kumfanyia fadhila tu hivyo apaswa kuhakikisha anabaki humo.
Ndoa ni ya wawili, hizo effort lazima ziwe pande zote, lasivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu.
mi ndo nimeona tu niyafanye mafupi!
chui security tu!
sitakagi majukumu ya kijinga jinga mimi!
Umeona eeeh ni ngumu sana kama ataamua kusettle na wewe atasettle ila kupeana stress na kuzeeshana kisa mtu niliyekutana nae ukubwani hapana kwa kweli mie nitafanya yaliyo ndani ya uwezo wangu tu ila hizo extra miles ngoja wafanye perfect women mie huko sipo[emoji1]Honey Faith , kumlinda mtu mzima ni sawa na kulinda bahari... Ukikaba huku kuna wanaovua kule.. Ukizunguka kule huku unawaachia..
Mtu ajilinde mwenyewe. Tusipeane stress zisizo na maana
Sasa wao wanataka kutukarilisha mambo halafu baadae yatushindr.Ishi na mume the way unavyoona ni sawa na kutimiza tu wajibu wako hayo ya kumlinda ni kumuachia Mungu tuHizi hadithi za wanawake kudanganyana ndio maana kila siku wapigwa mimba, vibuti na talaka kwa sababu ya kuchukulia uzito mambo ya kuambiwa... every human being is unique.
Hii ni 'nukuu ya siku' mtani wangu. Urewedi mira..!?Kuchepuka is a choice. Mengine ni visingizio tu.
YES!hilo ndo la msingiBe you, work hard. Respect and love will follow your way.
Mwanamke kaumbwa kuongea??,Kwanini wewe usijifunze kumsikiliza na huo upuuzi wake? Au kumuelekeza kwa upendo tu!!! Mwanamke kaumbwa kuongea akinyamaza jiulize mara mia mia.
Sasa wao wanataka kutukarilisha mambo halafu baadae yatushindr.Ishi na mume the way unavyoona ni sawa na kutimiza tu wajibu wako hayo ya kumlinda ni kumuachia Mungu tu
Nirewedi rumburya!Hii ni 'nukuu ya siku' mtani wangu. Urewedi mira..!?
YES!hilo ndo la msingi
mambo ya amri kumi za ndoa na ulinzi wa mume nawaachia wenye mikuki yao!
Sasa kipato kikiongezeka ilhali nyumba chafu.. huna kauli nzuri..hupiki vzr..kwa ujumla nyumba haina amani inasaidia nini???Acheni kudanganyana wanawake fanyeni kazi muongeze kipato na heshima. Kila wakati mnawaza dyudyu ndio chanzo cha kutokufanya kazi au kufanya kazi pasipo ufanisi.
Thank you,
Hujaambiwa umlinde ila play your roles...ikitokea kachepuka basi labda ni ule uchepukaj wa damuni ..ila wewe usiwe ndoo chanzoHoney Faith , kumlinda mtu mzima ni sawa na kulinda bahari... Ukikaba huku kuna wanaovua kule.. Ukizunguka kule huku unawaachia..
Mtu ajilinde mwenyewe. Tusipeane stress zisizo na maana
Sasa kipato kikiongezeka ilhali nyumba chafu.. huna kauli nzuri..hupiki vzr..kwa ujumla nyumba haina amani inasaidia nini???
hahahhaha mambo ya kula mlo mmoja kwa kiasi kikubwa ndo mwanzo wa utapiamlo,acha akapate mboga ,matunda,samaki,maziwa,chumvi yenye madini joto,glucose,paprika!Teh teh...knight support wapo vizuri zaidi, wanalinda mitambo ya tanesco pale ubungo. Sasa mpwa inabidi umuachie ale ashibe, labda humpi akashiba.
si ndo hapo!Hahahaaa. Kweli hii ya ulinzi wa mume kali. Mwanamke uwe mlinzi Mungu afanye nini?
mpwa mi nakupendea hapo tu!Nirewedi rumburya!
Ukichepuka usitoe visingizio mtani, utakuwa unataka 'fleva' nyingine.[emoji12] [emoji12]