Mkeshahoi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 2,469
- 289
bora tupumue
wanaume hawatuliii
Ukimchungza sana bataaaaa.........
bora tupumue
wanaume hawatuliii
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.
Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.
kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.
ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd
ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8
yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.
so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..
asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.
ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,
Be safe, take care.
Afrod.
Kweli hainihusu...ila shukrani kwa kuwasaidia kuleta apps hizi jamvini.......
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,
Be safe, take care...

Copy: Slave
My dear, hizi apps zinaweza kuongeza matatizo kuliko kuyapunguza. I wouldn't want to spy on him just because I am afraid I will come across unwanted and upsetting information.
Mfano hai (ulimtokea mtu ninae mjua): She come across a message from her mother-in-law to her husband asking him if "N'gombe wake"(yaani huyo mtu ninae mjua sasa) atamruhusu apite nyumbani jioni. Yeye mume akajibu kua atapita, bila kumkosoa mama yake on the insulting designation she used, referring to his wife. There was already a latent conflict between the mother-in-law and the wife, kama ilivo mara nyingi, and the poor husband was trying to manage it by avoiding direct confrontation between the two women and ignoring bitter remarks like those. However, just because of this message it became very very very complicated.
Ikumbukwe kua any individual has a private life, lazima tuheshim hiyo privacy. If you have a legitimate doubt (defining a legitimate doubt could be the topic of my next thread) then omba sim na pamoja msome message toka kwa huyo mtu anae kupa pressure. Sio kusoma message zoooooote, na kum-trace juu.
Kama unajua you won't act on it, basi bora uanze hiyo tracking na umwambie kabisa kua you are monitoring him 24/7. Iwe tu kama fence, making it harder for him to cheat, but not an evidence-gathering mechanism to help you decide on the future of your relation.Afu ukishajua unamwacha? au unagugumia tu?
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.
Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.
kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.
ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd
ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8
yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.
so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..
asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.
ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,
Be safe, take care.
Afrod.
Kama unajua you won't act on it, basi bora uanze hiyo tracking na umwambie kabisa kua you are monitoring him 24/7. Iwe tu kama fence, making it harder for him to cheat, but not an evidence-gathering mechanism to help you decide on the future of your relation.
I live in the belief that just like me, my man doesn't cheat.Kumbe wewe ni mke anayejua atakalo
Hongera, he is so luck!
MAmbo ya kuchunguza afu huna kifua cha kubeba nayo ni kujiumiza bure
Mimi kilichonifurahisha ni bei kuwa poa kwa kuwa hakutakuwa na haja ya kutafuta ile DAWA YA KUNATISHA...Hii inatoa nafasi ya kuzuia tatizo kufikia hadi huko kwa kuja kuadhirishana mitaani:bange:
Unakuwa na uwezo wa kuuona mchezo tangu unaanza kwa hiyo kwa wenye wasiwasi hizi gadget ni MKOMBOZI
Some men have a special phone for their mistress (just like some women have special phones for their hawaras) hata existence ya sim huna habari. Unatrack sim A, anaiacha ofisini kwenye drawer, anaendelea na sim B. Akimaliza, anachukua sim A na kurudi home. hahahahahamamaa afrodenzi,hizi applications sijazifungua nizione makeke yake,ila kwa akina sisi wenye uzoefu labda utufunge kengele ndio utatubamba hivi x2 kazi ipo,Maana hapo naamini nikiswitch location yangu iwe off sidhani kama atanipata kwa kiasi kikubwa,halafu na me nikiinstall si ntakuwa napata notification mtu akianza kunitrak o?kwahiyo hapo inakuwa safi kabisa maana amenirahisishia kujua ni muda gani ananifuatilia sana ili nijipange vizuri,wanaume tunamambo mama acha tu.