umeona eeh??
Yan hiyo ya torch inakuwa ipo kikazi zaidi..[/QUOTE
Kabisa mkuu THE BIG SHOW,mimi ninayo ila ipo kibiashara zaidi si kwa mambo mabaya.
UKIITUMIA KULINDIA NDOA SIYO MBAYA PIA MKUU JOSEPH..
LOL,,:laugh:
Nadhani unaweza ku download link .
nenda kwenye simu yako sehemu imeandikwa "market"
halafu type "Cheating spouse? How to catch" utaona hiyo app i download ..
baada ya hapo fuata maelezo jinsi ya kuweka number yake na kila kitu.
maelezo yote yako hapo baada ya ku download.
hahahahahahaah haya bana.
lakini usimdharau mtu kihiivyo maana kuandika ni kujifunza tu..
dahhhhhh ........... Nilidhani natengeneza mmmhhh hahahahah lol:whistle::whistle:
nokia ya tochi ndo mpango mzima
wewe mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaNi mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.
anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.
Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.
kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.
ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd
ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8
yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.
so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..
asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.
ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,
Be safe, take care.
Afrod.
Hii ni kuongeza tu sababu za watu kugombana nyumbani... cha kujiuliza ni..
Can You Handle the Truth ?, Pia is Flirting na Utani ni Cheating ?
Huenda hii ikawa njia rahisi ya kubomoa ndoa za watu
Ukweli ni kwamba wanandoa wengi hawakosi sababu za kugombana, sasa ikija na hii sababu ya kufuatiliana na kuingilia privacy ya mtu nadhani ni kumwaga mafuta ya taa kwenye moto..,Na wengi wanagombana sababu huwa wana "Guess" kinachoendela.
si bora mtu awe na uhakika ili awe na amani moyoni au ajue wapi anasimama.
Ikija kwenye flirt na utani hiyo atachuja ambae ana track.
na kumbuka mtu anaweza kukutrack mpaka guest ama nyumba ndogo sasa utani gani
huo ukupeleke huko?
ahhhhh.
Tabia ya ku guess vitu, na mambo ya kwenda kwa bibi "Nyau" yamepitwa na wakati....