Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

Some men have a special phone for their mistress (just like some women have special phones for their hawaras) hata existence ya sim huna habari. Unatrack sim A, anaiacha ofisini kwenye drawer, anaendelea na sim B. Akimaliza, anachukua sim A na kurudi home. hahahahaha

Now that's really effed up.
 
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.

anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.

kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd

ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

Be safe, take care.
Afrod.

[h=4]Customer Reviews[/h] [h=5]Not that good

[/h] by rodney shelton It tells you how to restore messages but the stuff to do for iphones are for jailbroken phones and im not gonna do that! Dumba$$'$. Wish i didnt waste my money on this app, apple needs to remove it!

[h=5]mediocre

[/h] by dudemass gives complex instructions on how to recover deleted text, ect. doesnt actually do it for you like i thought. waste of money.

[h=5]Buyer Beware

[/h] by Melocotongo This app is to get you to buy another
Software that cost in the hundreds $$$

Bado sana afrodenzi.....but why usumbuke ivyo?
 
Last edited by a moderator:
:becky::becky::becky: huu ukweli mchungu

Some men have a special phone for their mistress (just like some women have special phones for their hawaras) hata existence ya sim huna habari. Unatrack sim A, anaiacha ofisini kwenye drawer, anaendelea na sim B. Akimaliza, anachukua sim A na kurudi home. hahahahaha
 
natumia NOKIA C 3 DOES IT APPLIKABO?

Mkuu kama nimemuelewa vizuri mleta hoja, anamaanisha kwa simu zenye operating system za Android na Apple tu ndiyo zinauwezo wa ku-accept hiyo software. NOKIA operating system zake ni SYMBIAN na hizi NOKIA LUMIA za sasa zinatumia WINDOWs so haziwezi kuikubali hiyo software.

MY TAKE: Akhsante sana NOKIA na nitakupenda milele.Loh haya majitu mambea kweli na vitechnolojia vyao, na hamnipati ng'o.
 
Kwani dawa ya kunatisha sh ngapi?

Kusema kweli sijui ila kwa kutumia logic ya kawaida kabisa: Waganga wetu lazima ataomba kifungua mkoba (kama hospt ndiyo hela ya kupewa kadi). Kifungua mkoba hakiwezi kuwa chini ya kuku jogoo (wa kienyeji). Kwa hali ya sasa jogoo la kienyeji Dar es Salaam hupati chini ya Tshs 15,000/=

Zaidi ya hicho kifungua mkoba, itabidi kuwe na malipo ya dawa yeneywe...Kwa hiyo device iko cheap saaaaana. Pamoja na kuondoa masuala ya kaudhirika kwa kukutwa UMENASIAMO
 
Ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.

anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
JF kwenye cellphone.

kuna apps mbili moja ajili ya Iphone na nyingine ya adroid... na bei poa kweli kuanzia $2.99US mpaka $2.42 US.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...sMSwyLDIxMiwiY29tLmJ1c3RlZGJvb2tzLnNweWFwcCJd

ya Iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

so wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

Be safe, take care.
Afrod.
Huwa naogopa sana simu kwani inasababisha mtafaruku mkubwa sana kwenye mahusiano. Ukitaka uishi vyema bila mitafaruku isiyo na lazima ni vyema ukakaa mbali na simu ya mwenza wako na yeye umfundidhe kukaa mbali na simu yako , kwa maana nyingine muaminiane.
 
Kama unajua you won't act on it, basi bora uanze hiyo tracking na umwambie kabisa kua you are monitoring him 24/7. Iwe tu kama fence, making it harder for him to cheat, but not an evidence-gathering mechanism to help you decide on the future of your relation.

mwingine anaweza kukwambia we nimoniter ila kabla hiyo track yako haijakwambia niko guest mie ntakupigia kuwa naenda guest na lolote huwezi nifanya, tena anaweza kukumakia usoni na kwa hasira mie mwanaume bana ntakuwaje na mwanamke mmoja tu wazungu wenyewe wanacheat sembuse mie muafrika ambaye babu zetu kuwa na wake wengi ndo sifa ya urijali wa mwanaume.
Hapo ukijibiwa hivyo napo ufanyaje? uendelee kutrack msg au tracking unakuwa ndo ushafeli?
patamu hapa japo hata wanaume wanaweza wafungia wake zao ila mie ningependa kupata maoni ya wanaume si kuonesha kuwa unanyumba ndogo hapana ila utachukuliaje iwapo umejua umefungiwa kifaa hicho na mkeo?
 
Hahahahaha, hapo sasa.
 
Mmh, market analyst mzuri

Ila sasa biashara uliyobobea ndo utata

Kusema kweli sijui ila kwa kutumia logic ya kawaida kabisa: Waganga wetu lazima ataomba kifungua mkoba (kama hospt ndiyo hela ya kupewa kadi). Kifungua mkoba hakiwezi kuwa chini ya kuku jogoo (wa kienyeji). Kwa hali ya sasa jogoo la kienyeji Dar es Salaam hupati chini ya Tshs 15,000/=

Zaidi ya hicho kifungua mkoba, itabidi kuwe na malipo ya dawa yeneywe...Kwa hiyo device iko cheap saaaaana. Pamoja na kuondoa masuala ya kaudhirika kwa kukutwa UMENASIAMO
 
Asante

Kuna mama mmoja aligundua mumewe ana nyumba ndogo

Akaanza kuifanyia nyumba ndogo zogo mara anaitumia meseji za matusi bila kutaja jina

Ujue mumewe alifanyaje? Alimwita na kuitambulisha rasmi kuwa mwenzio huyu, na ukizidi naenda kutoa mahari.

Yule mama alichoka, akawa mpole
Sasas ndio mtu wa aina hii unamwekea cha kumtrack??

mwingine anaweza kukwambia we nimoniter ila kabla hiyo track yako haijakwambia niko guest mie ntakupigia kuwa naenda guest na lolote huwezi nifanya, tena anaweza kukumakia usoni na kwa hasira mie mwanaume bana ntakuwaje na mwanamke mmoja tu wazungu wenyewe wanacheat sembuse mie muafrika ambaye babu zetu kuwa na wake wengi ndo sifa ya urijali wa mwanaume.
Hapo ukijibiwa hivyo napo ufanyaje? uendelee kutrack msg au tracking unakuwa ndo ushafeli?
patamu hapa japo hata wanaume wanaweza wafungia wake zao ila mie ningependa kupata maoni ya wanaume si kuonesha kuwa unanyumba ndogo hapana ila utachukuliaje iwapo umejua umefungiwa kifaa hicho na mkeo?
 
Asante

Kuna mama mmoja aligundua mumewe ana nyumba ndogo

Akaanza kuifanyia nyumba ndogo zogo mara anaitumia meseji za matusi bila kutaja jina

Huwa sielewi watu wa hivyo wanaochitiwa halafu wanaenda kumfanyia zogo hawara. Kwa nini?
 
Asante

Kuna mama mmoja aligundua mumewe ana nyumba ndogo

Akaanza kuifanyia nyumba ndogo zogo mara anaitumia meseji za matusi bila kutaja jina

Ujue mumewe alifanyaje? Alimwita na kuitambulisha rasmi kuwa mwenzio huyu, na ukizidi naenda kutoa mahari.

Yule mama alichoka, akawa mpole
Sasas ndio mtu wa aina hii unamwekea cha kumtrack??

kwakwkakwakwakwakwaaaaaaaaaa heheheheeheheheeeeeeeee jamani yaani unakuwa mdogo kama punje ya ulezi hihihihiiiiiii. Watu wa namna hii dawa yao nao kuwakomoa tuu mtu anakuumbua hivyo lol, unamvizia unamfanyia kitendo hicho anakoma na roho yake hahahahahaaaaaaaa
 
mi huwa najuuliza wale wanaoendesha kipindi cha cheaters wakija Tanzania si itakuwa balaaa
 
Nimewahi kusema hivi "If you want your relationship to last long, never touch your lovers' cell phone" I stick to this
 
Inafikia mahali, kama umeamua kuishi na mtu

Basi ujidai unamwamini tu, ili maisha yende

Vinginevyo uwe tayari kuachana naye

kwakwkakwakwakwakwaaaaaaaaaa heheheheeheheheeeeeeeee jamani yaani unakuwa mdogo kama punje ya ulezi hihihihiiiiiii. Watu wa namna hii dawa yao nao kuwakomoa tuu mtu anakuumbua hivyo lol, unamvizia unamfanyia kitendo hicho anakoma na roho yake hahahahahaaaaaaaa
 
Kwa mi mwenye simu special kwa vimada hunidaki hata siku moja
 
Uchungu unazidi labda
Na ni wengi sana wanaofanya hivi, hata wanamme

Mimi siwezi aisee. Siwezi kwa sababu mtazamo wangu ni kwamba yule aliyenichiti ni kanidharau. Kanidhalilisha. Kanisaliti.

Kwa mtaji huo, she ain't worth fighting for. Hivyo siwezi kwenda kuanzisha zogo na mtu aliyechiti naye. Ya nini nijiweke kwenye harm's way kwa ajili ya jitu lililonisaliti? Nikitolewa ngeu je?

I've got too much pride to fight for a worthless piece of shit.
 
Back
Top Bottom