J JamiiTalks JF Advocacy Team Aug 7, 2018 626 938 Apr 23, 2021 #1 Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
Chris wood JF-Expert Member Dec 21, 2020 1,667 5,008 Apr 23, 2021 #3 Ndugu asante kwa somo zuri,hivi sisi tunao bet, tunaweza kupata magonjwa ya moyo???