Hapa ndiyo kasheshe kwa wengi!...Tunaomba maelekezo yako.Thanks Paulo. Na ukitaka picha iwe kubwa kwenye post mpya unayoianzisha je?
Thanks Paulo. Na ukitaka picha iwe kubwa kwenye post mpya unayoianzisha je?
Hapa ndiyo kasheshe kwa wengi!...Tunaomba maelekezo yako.
Mi nikiweka picha aidha zitakuwa ndogo, au zitakuwa kubwa kupita kiasi(unascroll left-right ili kuon apicha yote!)...huh!
There you are..there you go!...anxious!Wakuu nimeona hizi comments zenu na kwa kweli they are constructive ones. Kwa sasa kazi zimenibana ofsn ila ikifika saa kumi kamili nitaanza kutengeneza video clip itakayokuwa inaelezea jinsi ya kutoa picha kwenye folder na kuiweka kwenye post mpya. Pia kuna baadhi ya free softwares ambazo unabidi udownload kwenye internet ili uweze kuiedit picha yako kwa size utakayo. So jioni nitaweka clip wakuu.
Mkuu, umeweka homework nini? Nimeanza. Thanks
bado inanishinda lol
Nimeona challenge ya kuweka picha kubwa inakumba watu wengi hivyo nikaona nitengeneze hii video clip ili iwe msaada kwa wengi.
CAUTION: Sikuweka sauti. Hope it will be helpful to you guys
[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/bb99c79b-7a5c-497a-9410-e7fc40b4cb83[/video]
Wakuu tayari video clips kwa ajili yakuonesha namana mbalimbali za kuweka picha hapa JF zimekamilika. Ziko tatu
Ya kwanza inaonesha jinsi ya kuweka picha kama attachment. Hii ndo imekua ikitumiwa na watu wengi lkn sio nzuri hasa ukizingatia kiwango cha JF kutokana na kwamba picha zake zinakua ni ndogo.
Clip ya pili inaonesha jinsi ya kuweka picha pasipo kutumia njia ya attachment. Pia hii imekuwa ikitumiwa na wengi ingawaje picha bado zinabakia ndogo ingawaje kunakuwa na kaunafuu tofauti na mfumo wa kwanza wa attachment.
Clip ya tatu inaonesha jinsi ya kuweka picha ikawa kubwa. Hii ndo inayotakiwa/pendekezwa (most recommended).
1st Clip
[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/455b118f-443d-4987-9e43-8370bfd03a62[/video]
2nd clip
TechSmith | Screencast.com, online video sharing, 2011-01-24_1324
3rd clip
[video]http://screencast.com/t/d8gkQvK4F[/video]
Enjoy guys!
Mmmh, mbona inakuwa ngumu Mkuu Paulo?