Jinsi ya kujua jinsia ya computer yako!

rose sijakusoma kwa hiyo imegoma au?! hiyo hello.vbs haifunguki?
Script:c:\users\rose\desktop\hello.vbs
Line:1
Char:1
Error:active component cant creat objects "sapi.spvoice"
Code:800a01ad
Source:Microsoft vbscript runtime error
 
haha yes mkuu umeongea ukweli. So tuambie ya kwako ni KIKE au KIUMENI....usitufiche tunataka jua
What happens ni kwamba Windows inafungua text-to-speech conveter( program inayobadilisha maneno kuwa sauti) halafu inasoma yale maneno "hello". Ukitaka kuhakikisha, pale kwenye "hello" andika neno lolote la kingereza halafu save kwa jina lolote (ila umalizie na .vbs) kwa mfano Givenality.vbs halafu fungua hilo file. Kama ina jinsia does it mean INAZAA? I'm just joking Sharo. Try it!
 
Baada ya Gender utagunduwa vipi sexual orientation ya computer?
Ie kama ni gay , lesbian au bisexual.
 
Nimejaribi hii yangu ni dume la toshiba na nimejaribu kureplace neno "hello " na maneno mengine ikaenda bmba na hata nikajaribu kuweka neno "Mtazamaji" ni sauti ya dume tu.

Nikipata jike nitafanya kila niwezalo wapate mtoto tena itapendeza akipata karembo ka Sonny Viao siijui watapata mtoto gani. teh teh teh
 
hakyamama wakuu siamini kama laptop yangu jike aisee. daah,ngoja niitafutie dume la mbegu
 
Wakati mwingine unaweza kutumia sauti iliyoko kwenye Computer yako (Narretor).

  • To open Narrator click the Start button
    4f6cbd09-148c-4dd8-b1f2-48f232a2fd33.jpg
    , and then, in the search box, type Narrator. In the list of results, click Narrator. (window7)
Or

Control Panel\All Control Panel Items\Ease of Access Center

Change the Narrator voice

  • To open Narrator click the Start button
    4f6cbd09-148c-4dd8-b1f2-48f232a2fd33.jpg
    , and then, in the search box, type Narrator. In the list of results, click Narrator.
  • Click Voice Settings, and then make any of the following adjustments:
    • To select a different voice, click the voice you want to use in the Select Voice box.
    • For a faster voice, select a number in the Set Speed list. The higher the number, the faster the voice.
    • For a louder voice, select a number in the Set Volume list. The higher the number, the louder the voice.
    • For a higher-pitched voice, select a number in the Set Pitch list. The higher the number, the higher the pitch. A higher-pitched voice can be easier for some people to hear.
 
Yaa meeeen! Naogopa kutazama machine yangu meen!!. Na wasiwasi inaweza kuwa SHEMALE meen. Ha ha ha!! Sharoo bii upo juu meeeeen! Bg up.
 
thanks meeeen!!! jaribu meeeen!! hehe he shemale!!! duh
Yaa meeeen! Naogopa kutazama machine yangu meen!!. Na wasiwasi inaweza kuwa SHEMALE meen. Ha ha ha!! Sharoo bii upo juu meeeeen! Bg up.
 
dah nimejaribu kila mbinu ya kubadilisha Microsoft Anna kuwa Mike, lakini nimegonga mwamba,,,Windows 7 64Bit zote zina option moja ya Microsoft Anna pekeyake,,, nashindwa kuamini Computer langu naliaminia alafu kumbe sauti ya kike, hata masela nashindwa kuwaonyesha huu mchezo kwasababu watauliza na yangu je'!!
mwenye ujuzi kidogo tusaidiane'........:pound::pound:
 
Back
Top Bottom