fatma peter
New Member
- May 7, 2015
- 1
- 1
9c meipenda hyo
Mkuu unajua mara nyingi tulivyo TUNATENGENEZWA na mazingira yetu. Malezi na makuzi yanatuathiri mitizamo yetu. Nashauri utafte mtaalamu aliesomea UNASIHI(Counselling) mzungumze!
Asante mleta mada..nimejifunza kitu hapa
Umenenaaa kWa fundishoo lako
Mmmmmmhhhhhhhhh
.pole mkuu! Nilikusudia uongeze point wewe msomaji ili tujifunze pia kwako. By the way nimesha edit ili kuondoa mkanganyiko.
Hoja yako imeka vizuri sana,itawasaidia wengi.Nami pia nimejipatia points kadha wakadhalika.
NB: These techniques do not guarantee you to "cease fire "na mwenza wako. Cha msingi, soma mazingira na msome mwenza wako. Haya ni maoni yangu binafsi , I stand to be corrected.
Pamoja na yote yaliyotangulia, nimefagilia sana hii ya mwisho hapo chini.
Na sina mke!
ok dk.1
nitarudi
Kwenye majibizano hasa yanayo ambatana na hasira hakuna ufundi maana mara nyingi huwa ni mambo yanayo tokea bila kupanga! Kama kutakuwa na ufundi sana ujue kutakuwa na maigizo tuu! Majibizano hayana ufundi labda kama ni ngonjera!
Mtu anavyo argue wakati akiwa na mwingine tena akiwa na hasira ndivyo alivyo wala si ufundi bali ndivyo alivyo maana huwezi kufata principles wakati wa ku argue labda kama unaogiza na anaye fata hizo ujue ndivyo alivyo!