xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
Ni ngumu sana kuyakumbuka haya ukiwa una hasira aisee. Muda wa kuoana mazingira na kujua una mjibu vipi utokee wapi?!!
It's good to be yourself ili mwenzako ajue wewe ni mtu wa aina gani Ukiwa umekasirika, hii itasaidia yeye kuweza kujipima kama anaweza kuvumilia temper yako au namna anavyoweza kuji adjust mkiwa mna jibizana.
Sasa ukijifanya unafuata hizi sheria kuna siku hulka/personality yako itachukua nafasi Zaidi Halafu Mwenzio atashangaa kama wewe ni yule aliye kuzoea
Just be yourself! Simple. If he/she loves you for who you are even when u Er angry then arguing won't separate you.