Jinsi ya kujibizana na mwenza wako

Jinsi ya kujibizana na mwenza wako

Dawa yake usile nyama na vitu kama karanga
manake inakutengenezea uric acid.
Tumia kitunguu swaumu kabla ya kulala na kunywa maji ya kutosha.

niwe muwazi ndani ya siku 7 nakula nyama mara 6
katika milo tofauti

nisipokula hyama nitakula nini
sipendi kuku ???
karanga nakulaga maa chche sana
 
Mkuu i'm sorry to say this, kuna dalili kuwa huenda ni mtu wa visasi na hili ni tatizo unahitaji ujifunze KUSAMEHE na KUSAHAU. Hebu pita hapa nilieleza kwa kirefu THE POWER OF FORGIVENESS: The power of forgiveness (umuhimu wa kusamehe)
Natumaini itakusaidia.

nasamehe sana mkuu
ila inategemea na kosa

mi sieez lipixa wala kuongea
bali nitalia na sitotaka nikuone tena

kwa mfn kama umenisaliti kama mfano mfano wako hapo jui
MIMI SINA NGUVU YA ARGUE KABISA

KAMA TUPO KWANGU AU KWAKO NITAKWAMBIA NAOMBA UNIACHE KWA MUDA JUST GOO
 
Aah kwakwel mm nikikasirishwa mpk naonaga kifua chote kimejaa kinataka kupasuka na ili kupunguza hizo jazba zisininyime pumzi bas n lazma niongee mpk nimalize nisikatishwe kati, na kitu nikiwa na ushahid nacho cpendag mtu ajitete.. huwaga mkal sn, nashukuru nmezoeleka hv na maisha yanaenda. Ila leo nmejifunza kitu nitaanza kukifanyia mazoezi soon
 
Mkuu unajua mara nyingi tulivyo TUNATENGENEZWA na mazingira yetu. Malezi na makuzi yanatuathiri mitizamo yetu. Nashauri utafte mtaalamu aliesomea UNASIHI(Counselling) mzungumze!
 
Aah kwakwel mm nikikasirishwa mpk naonaga kifua chote kimejaa kinataka kupasuka na ili kupunguza hizo jazba zisininyime pumzi bas n lazma niongee mpk nimalize nisikatishwe kati, na kitu nikiwa na ushahid nacho cpendag mtu ajitete.. huwaga mkal sn, nashukuru nmezoeleka hv na maisha yanaenda. Ila leo nmejifunza kitu nitaanza kukifanyia mazoezi soon

Nashukuru kama umejifunza kitu. Ila pamoja na "kuzoeleka" hivyo ni muhimu kujifunza kubadilika. Kwa ambaye hajakuzoea inaweza ikawa majanga siku mkipishana kauli, you have to learn to be a good listerner na hii unaweza kujifunza kwenye maongezi ya kawaida na wenzio. Usimkatishe mtu akiwa anaongea mpaka amalize, with time utazoea hata siku ukiwa umekasirika unaweza ukajikuta unaweza kumsikiliza mwenzio.
I had my neighbour yeye ni mwenyeji wa kilimanjaro, yani yeye akikasirika anatukana siku nzima mpaka usiku utamsikia anatukana tu na hiyo ndio njia yake ya kuondoa hasira. baadhi ya njia si sahihi hasa ukizingatia kama kuna watoto karibu njia kama hii ya kutukana sio nzuri kimaadili.
 
Asante nimejifunza kitu mimi nina tatizo anapo nikosea mwenzangu huwa nashikwa na hasira sana.ninapojaribu kumuuliza akianza kuargue kwa kunibishia huwa namwambia siwezi kuargue na simuulizi tena lakin naumia sana kwani naona kama anahisi yeye amekamilika na hapaswi kuambiwa makosa yake so inaweza nichukua hata wiki nzima nikiwa na maumivu moyoni ila kwa hii thread naweza pata suluhisho la tatizo nashukuru sana mdau.
 
Kwenye majibizano hasa yanayo ambatana na hasira hakuna ufundi maana mara nyingi huwa ni mambo yanayo tokea bila kupanga! Kama kutakuwa na ufundi sana ujue kutakuwa na maigizo tuu! Majibizano hayana ufundi labda kama ni ngonjera!

Mtu anavyo argue wakati akiwa na mwingine tena akiwa na hasira ndivyo alivyo wala si ufundi bali ndivyo alivyo maana huwezi kufata principles wakati wa ku argue labda kama unaogiza na anaye fata hizo ujue ndivyo alivyo!
 
Mtoa mada utakuta unatufundisha ila wewe ndo mgomvi mkubwa kwa MUPENZI...

hehehe thnks 4 comments..
 
Asante nimejifunza kitu mimi nina tatizo anapo nikosea mwenzangu huwa nashikwa na hasira sana.ninapojaribu kumuuliza akianza kuargue kwa kunibishia huwa namwambia siwezi kuargue na simuulizi tena lakin naumia sana kwani naona kama anahisi yeye amekamilika na hapaswi kuambiwa makosa yake so inaweza nichukua hata wiki nzima nikiwa na maumivu moyoni ila kwa hii thread naweza pata suluhisho la tatizo nashukuru sana mdau.

I'm happy kama thread hii imekuwa sehemu ya ufumbuzi wa tatizo. Kila la kheri mkuu....
 
Back
Top Bottom