Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Hello,
Hizi ni baadhi ya (arguing technics) zikitumika vizuri husaidia kuepusha mizozo isiyo ya lazima ndani ya ndoa.
1. Usipayuke/kufoka. Unapo-argue na mwenza wako don't speak out of tone. Kumbuka sauti yako inaweza kubadilisha maana ya kile unachokiongea hata kama unachokiongea ni sahihi! Mwenza wako atahisi yuko disrespected!
2. Sikiliza na makinika na anachokisema.usiwe mtu wa kutaka kuongea wewe tu, hutaki kusikiliza, na ukisikiliza basi humakiniki na asemacho mwenzio ikiwemo kutomaintain eye contact. Atahisi anachoongea hakina mantiki kwako.
3. Usitupe kitu au kupiga kitu kama vile mlango nk. Kuna wengine kama anajibizana na mwenza wake na ili aoneshe kakasirika haswa anaweza akapiga mlango kwa nguvu huku akienda zake au kutupa chini kitu alichoshika mkononi. Hii inajenga chuki na hasira kwa unaemfanyia.
4.Know your position. mf:Kama wewe ni mke unajibizana na mumeo basi ijue nafasi yako"Know your self"(vice Verser is true). Kwa kuijua nafasi yako then utatambua nafasi yake na utalinda mipaka na heshima ya mwenzio. Haipendezi unaongea na mume/mkeo halafu unajibizana nae kama mtu kando au mtoto mdogo
5.Smile and make a simple jokeikiwa tu utaona kufanya hivyo kutapunguza temper ya mwenzio. Hapa kuwa makini na aina ya joke asije mwenzio akahisi you are making funny of him/her.
6. Focus on the current problem sio unaanza kukumbushia Old stuff. Ohoo! mbona wewe siku flani ulifanya hivi au vile? Badala ya kuzima moto utajikuta unachochea kuni.
7. Usikae kimya au kuondoka, inaonesha dalili ya kiburi na jeuri. Ikiwa unaona you need time ufikirie au kwa kufanya hivyo utapunguza jazba ya mwenzio then mwambie wazi kuwa" please spare me time , tutaongea baadae". Hapo mnaweza kujikuta mmefukuza shetani na msiliongelee tena hilo na mkajikuta mmeirudisha amani automatically kwa kudeal na vitu vingine mkasahau hata kilichotokea. Time sometimes heals our problems more than our words etc.
8. Hakuna mshindi. Mnapojibizana na mwenza wako set your mind kuwa hapo hapatafutwi mshindi au mshindwa ila jikite kutatua tatizo
9. Kubaliana kutokukubaliana. Si kila wakati mnapojibizana mnaweza kufikia hitimisho na mkakubaliana kukubaliana, sometimes you have to agree to disagree kama njia moja ya kistaarabu ya "kufunika kombe mwanaharamu apite"
10. Kama ni watu wa dini , jitahidini kuifanya dini as a reference point. Mkumbushe mwenza wako kuwa dini yenu inasema hivi na vile kutokana na hicho mnachojibizana kwacho, hope he/she atapunguza munkari na kujirudi kwa vile umemgusia dini.
11. Unapojibizana kama unahisi wewe ndio umekosewa basi usitumie neno "wewe" ,tumia neno "mimi" .Mfano: "mimi najiskia vibaya unaponisaliti", usiseme "wewe umenisaliti". say how you feel sio what he/she has done to you. Kama ni mtu anaejali hisia zako ,atapata huruma na kufeel zile hisia zako. Ila ukitumia neno wewe linajenga picha kuwa yye nimkosaji.
12...........
NB: These techniques do not guarantee you to "cease fire "na mwenza wako. Cha msingi, soma mazingira na msome mwenza wako. Haya ni maoni yangu binafsi , I stand to be corrected.
Wasalam #xiexie
Karibuni #farkhina #mzizimkavu #gorgeousmimi #munkari #mkoroshokigoli na wengine wote