Maksi zimeshatoka hapo mkuu hujaonaKwaiyo Lissu unampa maksi ngapi mkuu?
Ten percent. Alijibu vizuri mwanzo kwenye kujitambulisha na mwishoni alipoonyesha nia ya kugombea uraisi alijibu vizuri kuwa chama na wanachama wakipendekeza yuko tayari lakini maswali ya katikati hakuambulia kitu yalimshinda yoteKwaiyo Lissu unampa maksi ngapi mkuu?
Kwa mwanasiasa iwe upinzani au chama tawala ukiitwa kuhojiwa BBC Hard talk unatakiwa ujiandae na ujue kuwa maswali utakayoulizwa yameandaliwa na jopo la watu wengi wakiwemo donors wa chama chako au serikali na wabobezi kwenye siasa na taaluma yako ambao hutaka kukujua hasa undani wako we went na chama chako kupata undani kwa ajili ya maamuzi yao katika mambo.Mwandishi anawakilisha tu yale maswali . Maswali hujikita Kwenye udhaifu wa kwako na wa chama chako sio wa mwingine au chama kingine . Uwe tayari kwa hilo maswali huulizwa kimtego sana mfano wewe unatuhumu serikali ya Magufuli uko opposition na ni mwanasheria Hard talk watakuhoji do you have legal evidence kwenye tuhuma zako wewe au chama chako? Ukiwa huna ukajikanyaga anakuacha anaenda swali lingine lakini Meseji send kwa waliomtuma kuwa huyu mtu na chama chake hawana legal evidence pamoja na sifa zote wanazojitia kuwa nazo na hawajachukua any
legal steps.Hivyo ukienda hojiwa jiandae barabara maeneo yako ya udhaifu wako binafsi na wa chama chako au serikali kama ni kiongozi wa serikali. Ujue hutahojiwa kuhusu udhaifu wa mwingine au chama kingine nje ya cha kwako watajikita kuhoji udhaifu wako na chama champ.
Hili hubeba asilimia 90 ya mahojiano. Asilimia kumi inayobaki ni ya kukihoji maswali laini ili u relax yaweza asilimia tano yakawa mwanzo wa mahojiano na asilimia tano mwisho wa mahojiano ili walau upumue mnapoagana .Pili jizatiti na takwimu za kuaminika sio newspaper cuttings au taarifa za jamii forums. Sababu wao huwa na takwimu toka credible sources za kimataifa. Tatu wenzetu mtu akifanya vizuri hata akiwa opponent wako wana tabia ya Ya ku appreciate hilo zuri la opponent wako unajibu yes kuna mazuri kafanya unatoa mifano mizuri miwili mitatu halafu kama una reservation unasema lakini angefanya vizuri zaidi angefanya moja, mbili tatu.Usiseme aah hamna kitu alichofanya!!!!!! Ataruka haraka kwenda swali lingine kuwa meseji send kuna mema yapo lakini huyu hajui kitu hayuko informed ni mweupe kichwani!!!
Alitegemea mahojiano yale yamjenge kisiasa, kumbe yamefichua udhaifu mwingine. Kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya masuala unayoyaongelea.Tatizo la Lisu alikwenda kwa kupania kuichafua Serikali na JPM na inaonekana ali ipania siku ile na kuisubiri kwa hamu kubwa.
Matokeo yake kila akiulizwa kama anao ushahidi usio na shaka, Anabaki kusema kuna ushahidi wa mazingira.
Pale ndipo Dunia ilipo muona anahasira na mihemko mingi kuliko anacho taka kuwaaminisha wanao mwangalia.
Baati mbaya ata mwenyekiti wa chamachake anahusishwa na matukio ya kuwafanyia uharifu wale ambao waanaonekana tishio kwake na ata yeye Tundu inawezekana akawa mwasilika wa hayo. Yote ni kutokana na ushahidi wa kimazingira hususan unapokaribia uchaguzi ndani ya chama chao. Mfano Chacha Wangwe na Zito kabwe pale walipo jaribu ku challenge nafasi ya Mwenyekiti wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi Hilo sijui .Nilichoeleza ndicho hicho kuwa BBC hard talk sehemu kubwa hushughulika na udhaifu wako na chama chako kwenye mahojiano Lisu nadhani hakuwa akijua hilo alifanya kushtukizwa alitarajia BBC hard talk wajikite udhaifu wa CCM au serikali mwandishi akawa anamkwepa na kuendelea kumkomalia tu Lisu kwenye ya kwake na chama chake tu.Kila mtu na tafsriri yake na maoni yake siingilii uhuru wa mtu kutoa maoni yake ndio maana nikasema hata mtu awe CCM akienda BBC Hard talk ajiandaeKwa hiyo mkuu unakubaliana na polepole ya kuwa Stephen Sucker ni mwanachama wenu ama laa???
Alitegemea kukutana na huruma za mwandishi kwenye maswali, ukizingatia katoka kuugua kwa kipindi kirefu.Alichemka tena mno
mimi Hiro sijui .Nlikichoeleza ndicho hicho kuwa hard talk sehemu kubwa hushughulika na udhaifu wako na chama chako kwenye mahojiano Lisu nadhani hakuwa akijua hilo alifanya kushtukizwa alitarajia BBC hard talk wajikite udhaifu wa CCM au serikali mwandishi akawa anamkwepa na kuendelea kumkomalia tu Lisu kwenye ya kwake na chama chake tu.Kila mtu na tafsriri yake na maoni yake siingilii uhuru wa mtu kutoa maoni yake ndio maana nikasema hata mtu awe CCM akienda BBC Hard talk ajiandae
Tanzanian asilimia kubwa hatuna waandishi wa habari Tuna reporters wa habari. Kazi yao kuripoti tu.Mtu akitukana serikali wanaripoti atukana serikali. Wengi reporters tuAlitegemea mahojiano yale yamjenge kisiasa, kumbe yamefichua udhaifu mwingine. Kutokuwa na vyanzo vya uhakika vya masuala unayoyaongelea.
Hardtalk sio sawa na huu uandishi wa habari wa kibongo wa kujiendea tu kwa kuyasikiliza majungu na umbeya.
ingependeza zaidi kama uchambuzi ungetoka kabla ya mahojiano zaidi ya hapo ni uchocheziTanzanian asilimia kubwa hatuna waandishi wa habari Tuna reporters wa habari. Kazi yao kuripoti tu.Mtu akitukana serikali wanaripoti atukana serikali. Wengi reporters tu
WellJIwe hata ajiandae miaka 10,hawezi toboa kwenye hicho kipindi!!
Nways,unampa ujumbe gani Chakubanga na Bashite wanaodai muendesha kipindi ni mdau wa CCM na serikali ya JPM?????