Ubaguzi labda east Germany na ni baadhi ya watu wajinga wazungu hawana habari na MTU.. Kazi zipo nyingi tuuMkuu vp naweza kuja kusoma halafu nikapata kibarua chochote tofauti na mambo ya kitaalumu nikafanya kwa mda was ziada na vipi ubaguzi??
Binafsi nimemuelewa mtoa mada ..anasema ya kuwa kwavle ada in bure haina haja sana kwa ww kutegemea scholarship wakt waweza kuomba chuo na ukawa unatumia mda was ziada kupata pesa za kujikimu maana kazi ni nyingi mtaanisijakuelewa hii sentens yako "lakini kupenda scholarship ni ujinga tuu mtu mwenye nguvu anatakiwa apambane aendeshe maisha yake。。。
Check.pm pleaseSasa why don't you hustle kusubiri scholarship utadoda hapo tz maana applicant ni wengi
shule ni bure ndio but kuja kupata visa mpaka uwe na hela fulani ya kudeposit ubalozini ili ukienda kule usije ukapata shida.Binafsi nimemuelewa mtoa mada ..anasema ya kuwa kwavle ada in bure haina haja sana kwa ww kutegemea scholarship wakt waweza kuomba chuo na ukawa unatumia mda was ziada kupata pesa za kujikimu maana kazi ni nyingi mtaani
I didn't deposit anythingshule ni bure ndio but kuja kupata visa mpaka uwe na hela fulani ya kudeposit ubalozini ili ukienda kule usije ukapata shida.
ilikuwa mwaka gani mkuu sasa hivi sheria zimebadilika sasa you need to provide financial proof that you can support yourself
Mwaka huu 2018ilikuwa mwaka gani mkuu sasa hivi sheria zimebadilika sasa you need to provide financial proof that you can support yourself
Swali ni ataendaje nauli hanaBinafsi nimemuelewa mtoa mada ..anasema ya kuwa kwavle ada in bure haina haja sana kwa ww kutegemea scholarship wakt waweza kuomba chuo na ukawa unatumia mda was ziada kupata pesa za kujikimu maana kazi ni nyingi mtaani
kwa hiyo anahitaji na scholarship ya nauli?Swali ni ataendaje nauli hana
Msomi hawezi kuwa mbaguzi hivyo vitu havipoGermany vp swala la Ubaguzi limepungua?
MA GPA ni ngapi? Watu tushachoka Bongoland