edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,874
- 9,671
- Thread starter
- #21
Ubaguzi labda east Germany na ni baadhi ya watu wajinga wazungu hawana habari na MTU.. Kazi zipo nyingi tuuMkuu vp naweza kuja kusoma halafu nikapata kibarua chochote tofauti na mambo ya kitaalumu nikafanya kwa mda was ziada na vipi ubaguzi??