Jinsi ya kuja kusoma ulaya(Germany+France and some Scandinavian)

sijakuelewa hii sentens yako "lakini kupenda scholarship ni ujinga tuu mtu mwenye nguvu anatakiwa apambane aendeshe maisha yake。。。
 
Binafsi nimemuelewa mtoa mada ..anasema ya kuwa kwavle ada in bure haina haja sana kwa ww kutegemea scholarship wakt waweza kuomba chuo na ukawa unatumia mda was ziada kupata pesa za kujikimu maana kazi ni nyingi mtaani
 
shule ni bure ndio but kuja kupata visa mpaka uwe na hela fulani ya kudeposit ubalozini ili ukienda kule usije ukapata shida.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom