Jinsi ya kuinstall mods kwenye Euro trucks simulator 2

FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
1,095
Points
2,000
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
1,095 2,000
pamjela acha mchezo na hilo Scania 730 S halafu ni V8 engine mlio wake tu kinanda na maengine break siweki hata music nafyatua buuton C ya speed control mwendo na mm, maana speed limit na faini za Traffic nimefuta zote, basi mwendo ni kuwahi mizigo,
kweli Dunia yote ipo hapo maana maupepo ya break na kunesa utaota raha wanazopata madereva wa malori
Ha haa we jamaa hakuna tochi za traffic au sio.no kig'amuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Ha haa we jamaa hakuna tochi za traffic au sio.no kig'amuzi Sent using Jamii Forums mobile app
yaani nime mute Traffic offence nikaondoa na Truck speed Limiter halafu nikaweka speed ya gari ndogo 140km/h and over, hapo utajua uzuri wa Scania 730 hp V8 (piston 8) inavyovuta hakuna gari ndogo itasoge halafu unafungulia muziki wa Bolingo ni rahaje?
Hili limchezo bwana ni miezi 6 tango October 2018 silali bila kuendesha sijui lini nitafika mwisho au angalau 106 km member wengine humu
 
Princep

Princep

Senior Member
Joined
Nov 25, 2016
Messages
108
Points
225
Age
30
Princep

Princep

Senior Member
Joined Nov 25, 2016
108 225
Nimedownload V1.34 nikiinstall likimaliza linajifungua na unaweza kucheza ila ukiClose halifunguki tena...tatizo ni nini?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Kweli mkuu...mim natembelea volvo moja matata, mitaa ya urusi ,scania s nimepaki pembeni Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu msaada hapo nimekwama
nataka niipaki Scania R 730 nichukue Benz au Volvo nia km 3,800,000 EURO kibindoni
sasa wananikatalia wanasema sina space katika Garage za kuingiza hilo gari
naingilia wapi? na je Scania langu R730 ndio linapotea?
 
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,678
Points
2,000
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,678 2,000
Mkuu msaada hapo nimekwama
nataka niipaki Scania R 730 nichukue Benz au Volvo nia km 3,800,000 EURO kibindoni
sasa wananikatalia wanasema sina space katika Garage za kuingiza hilo gari
naingilia wapi? na je Scania langu R730 ndio linapotea?
una gereji ngapi ?

kwa kawaida ukinunua gereji inakua ndogo, uwezo wa kulaza gari 3, inabidi uiongezee ukubwa (upgrade) , iwe na uwezo wa kulaza gari 5

Nenda Company Manager (kulia chini ukiwa Home Page) > Garage Manager , chagua garage, click 'upgrade' then watakata ela

Gari halipotei mpaka uliuze mkuu
111-png.1054035
222-png.1054036
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,446
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,446 2,000
Mkuu msaada hapo nimekwama
nataka niipaki Scania R 730 nichukue Benz au Volvo nia km 3,800,000 EURO kibindoni
sasa wananikatalia wanasema sina space katika Garage za kuingiza hilo gari
naingilia wapi? na je Scania langu R730 ndio linapotea?
Nunua garage kubwa mkuu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
una gereji ngapi ?
Nenda Company Manager (kulia chini ukiwa Home Page) > Garage Manager , chagua garage, click 'upgrade' then watakata ela
Gari halipotei mpaka uliuze mkuu
Nashukuru wakuu yaani nilikuwa sijui kabisa nimepekua company manager nikaishia njiani
 
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
9,436
Points
2,000
Ukwaju

Ukwaju

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
9,436 2,000
Nunua garage kubwa mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu nimekukubali, baada ya garage kubwa sasa nimeingiza VOLVO F16 XL GLOBETROTTER 750hp
nimeipumzisha ile SCANIA STREAMLINE 730hp na nilidhani ndio gari kubwa humu EURO TRACK
kumbe tembea uone sasa Mswedish kiboko natamani kuDownload zile njia za Russia huenda tukakutana na Volvo yako
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,446
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,446 2,000
Mkuu nimekukubali, baada ya garage kubwa sasa nimeingiza VOLVO F16 XL GLOBETROTTER 750hp
nimeipumzisha ile SCANIA STREAMLINE 730hp na nilidhani ndio gari kubwa humu EURO TRACK
kumbe tembea uone sasa Mswedish kiboko natamani kuDownload zile njia za Russia huenda tukakutana na Volvo yako
Mkuu ongeza horsepower hizo...

Rusia kama huna chuma cha maana kuna milima huez panda

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Forum statistics

Threads 1,283,945
Members 493,896
Posts 30,807,380
Top