Jinsi ya kufuta tatoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kufuta tatoo

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by Magarinza, Dec 2, 2009.

 1. M

  Magarinza Senior Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Agant. Naomba sana kwa anayefahamu dawa au namna yeyote ninayoweza tumia kufuta tatoo kwenye mwili aniwekee hapa. Naomba sana.
   
 2. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahaahaahaha...pole sana kijana..sitaki kuuliza kwanini unafuta hiyo tatoo yako ila naona ujana/utoto umekutoka sasa unataka kufuta makovu ya maamuzi yako mabovu uliyoyafanya utotoni...ucjali sana hakuna dawa kwa maana ya dawa isipokuwa operation ndogo...jaribu ku-google maana nilisoma habari kuwa mchezaji m1 wa arsenal the gunners anatarajiwa kufanyiwa operation ya kufuta tatoo mwilini....
   
 3. Illuminata Rodgers

  Illuminata Rodgers JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2016
  Joined: Nov 25, 2015
  Messages: 2,270
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Daaaah
   
 4. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2016
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 21,378
  Likes Received: 13,161
  Trophy Points: 280
  Hilo jina uliloliandika ungeli-modify na kupata kitu kingine!! Ukifuta utabaki na kovu fulani hivi, kama kuna njia ya kufuta kabisa basi itakuwa ghali sana.
   
Loading...