Jinsi ya kufuta caches kwenye laptop kwa maana imekuwa nzito sana

mbarika

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
5,626
7,408
Habari wakuu naomba kwa anayejua namna ya kufuta caches kwenye laptop imekua nzito sana
Aina ya laptop Dell E6430

Asante

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwanini usi google tu mbona ni rahisi, au YouTube angalia tutorial zimejaa

Futa application ambazo huzihitaji, restart laptop yako alafu chagua application unazozitumia tu..... Huko kwenye cache hatujui hata unatumia browser Gani hatuwezi kukushauri
 
Kufuta caches sio suluhisho maana zitarudi tena kwenye system kadri unavyoendelea kutumia laptop yako.

By the way, caches zimewekwa ili kuifanya computer yako kuwa nyepesi maana zinahifadhi taarifa za programs unazotumia mara kwa mara ili uweze kuzifikia kwa haraka zaidi pale unapohitaji kutumia programs hizo.

Suluhisho ni kuboresha (upgrade) laptop yako. Jaribu kuangalia vitu ambavyo unaweza kuviongeza kwenye laptop yako kama vile RAM, SSD n.k. ambavyo vitaongeza utendajikazi ama uwezo wa laptop yako kufanya kazi.
 
Umekimbilia "cache" kwanini? Cache inafanya vitu viwe faster kama alivyoeleza FRANC hapo. Pia kusema tu cache ni eneo pana sana cahce ya kitu gani?

Computer kuwa slow ambayo ilikuwa fast asilimia 90% ni.
  • Umeinstall program zisizoeleweka hasa AV/VPN nyingi ni feki tu hakuna zinachofanya, Windows inakuja na AV built (Microsoft Defender) in hauhitaji kuinstall nyingine ila hakikisha unainsall updates. Zinakula resources tu kila wakati, pia takataka zengine kama program za kuinstall driver ambazo hazina umuhimu siku hizi.
  • HD inakaribia kujaaa, jitahidi kuweka angalau 20% free ila na SSD siku hizi kuna angalau kwenye hili.
  • Matumizi yamebaadilika na kweli unatumia program nzito zaidi.
  • Hardware failure, hili mara chache zaidi.
 
kumbuka kwanza kuhakikisha unachunguza CPU/RAM usage
kumbuka kifuta updates files ambazo zinahifadhiwa na windows pia kuclean up disk for junk files
hakikisha partion yenye windows ina space ya kutosha maana windows inavyo operate inacreate some files , last ni vyema kufuta any unnecessary files from your computer and scan for malware
 
Back
Top Bottom