Jinsi ya kuflash simu aina zote

Kaka hizo step hakuna zilizo simplified maana nashindwa.
unakwama wapi? hizo ndio simplified kaka nimejaribu kuzielezea kwa wepesi inavyowezekana, kama unakwama mahali niambie nikusaidie
 
Kwa Maelezo yako nimeelewa ni kwa clone...sasa hii yangu haina shida ila nataka kuiwekea ROM ingine.sasa ktk hatua ya kufanya installation ya drivers ndo sijaelewa.kufanya back up ya system pia..
To be short naomba process ya kuweka custom ROM ktk rooted mtk devices
 
pole sana kwa kutokujibiwa...

ukisema universal maana yake zote zinawezekana. pia inategemea na box kwan zinatofautiana quality na ubora na Cable..pia bei ni tofautii...

cha muhimu ni box latest na software latest na kujiunga kwenye forums za simu ili uwe uptodate!!

kama unataka fungua ofisi ya kisasa bila ubabaishaji ni vizuri uka ni PM nikuconnect na watu wanao husika na mambo hayo.

cheers!!

ok mkuu bas weka namba yako nikutafute au nikupe ya kwang ambayo ni +255768501214
 
unakwama wapi? hizo ndio simplified kaka nimejaribu kuzielezea kwa wepesi inavyowezekana, kama unakwama mahali niambie nikusaidie

na mimi ningependa kujua hayo mafile kwanza unayadownload katka Pc au katika simu!
 
mafaili yote una download kwenye pc, kisha kwa kutumia 7zip au winrar unaya extract humo ndani ndio kuna vitu tunavyovihitaji, kwenye simu hauweki kitu chochote
Pia hizo drivers nazidownloadia kwenye simu au pc
swali nimelijibu hapo juu
Kwa Maelezo yako nimeelewa ni kwa clone...sasa hii yangu haina shida ila nataka kuiwekea ROM ingine.sasa ktk hatua ya kufanya installation ya drivers ndo sijaelewa.kufanya back up ya system pia..
To be short naomba process ya kuweka custom ROM ktk rooted mtk devices
sababu kubwa ya kuweka driver ni simu iweze kucommunicate na pc, simu kama samsung original au lumia na zingine uwa zina install driver zake moja kwa moja, ila kwa izi clone za kichina uwa zinazingua sasa hapo ndio ishu inapoanzia(kama simu yako inaweza kuwasiliana na pc hauitaji drivers)

ikishakuwa connected, na tayari rom yako(ambayo uli extract kutoka kwenye file la zip) unayo basi unafungua app yako ya SP flash tool unaweka kama nilivyoelekeza pale juu, unafata maelekezo mengine(kama nilivyo onesha hapo juu)
 
mafaili yote una download kwenye pc, kisha kwa kutumia 7zip au winrar unaya extract humo ndani ndio kuna vitu tunavyovihitaji, kwenye simu hauweki kitu chochote

swali nimelijibu hapo juu

sababu kubwa ya kuweka driver ni simu iweze kucommunicate na pc, simu kama samsung original au lumia na zingine uwa zina install driver zake moja kwa moja, ila kwa izi clone za kichina uwa zinazingua sasa hapo ndio ishu inapoanzia(kama simu yako inaweza kuwasiliana na pc hauitaji drivers)

ikishakuwa connected, na tayari rom yako(ambayo uli extract kutoka kwenye file la zip) unayo basi unafungua app yako ya SP flash tool unaweka kama nilivyoelekeza pale juu, unafata maelekezo mengine(kama nilivyo onesha hapo juu)

poa ngoja nijaribu...je naweza weka rom ya samsung ktk mtk device???
 
utaanzaje labda? ni sawa na kuweka injini ya honda kwenye toyo.... hazifanani na hata njia ya kuziweka ni tofauti, za samsung huwezi kuinstall bila odin au kies ambazo kwenye clone hazizitambui kama ni simu za samsung
 
Poa kaka naomba nisaidie compatible custom ROM za mtk6572 android 4.2.2 jelly bean....nitajie majina ambazo unaona zitanifaaa
 
taja na simu aina gani maana mtk 6572 ni chip, simu clone zote zenye chip hii basi zinaandikwa mtk6572 ila utakuta zipo s4, s3 na zingine
 
Tecno h5 mtk 6572 android 4.2.2 jelly bean
 
taja na simu aina gani maana mtk 6572 ni chip, simu clone zote zenye chip hii basi zinaandikwa mtk6572 ila utakuta zipo s4, s3 na zingine

Mkuu nikiiflash naweza tumia line zote kama simu ina limitation ya line??
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom