Jinsi ya kuflash simu aina zote

Jinsi ya kuflash simu aina zote

yeah, ila uweke stock rom

Mtaalam C 6 nina Nokia E 71 i, original nayo imezidiwa nikiiwasha screen inawaka kama hazard na program inajifungua zenyewe, hii simu bado naipenda, utanisaidiaje maana mi si mjuzi saana ya hayo mambo, kama vipi niwekee mawasiliano yako nikutafute kama uko hapa dar, tafadhali
 
mkuu mie niko mwanza. na sio mtaalamu wa mambo ya simu. ila uwa ninapopata tatizo uwa nakomaa nalo mpaka nipate suluhisho. na nikipata uwa napenda kushea na wenzangu.

maswala ya simu za nokia chief-mkwawa ndio nyumbani kwake. mie mnazi wa android mkuu
 
Last edited by a moderator:
Topic n nzuri nimeipenda ila smartphne nying ss hv zinakuja na hardware issue na maflasher wengi wanachemsha..

Sent from my Blackberry
 
mkuu mie niko mwanza. na sio mtaalamu wa mambo ya simu. ila uwa ninapopata tatizo uwa nakomaa nalo mpaka nipate suluhisho. na nikipata uwa napenda kushea na wenzangu.

maswala ya simu za nokia chief-mkwawa ndio nyumbani kwake. mie mnazi wa android mkuu

Kaka vipii kuhusu ombi langu la compatible custom ROM ya tecno H5 version 4.2.2 jelly bean??
 
Last edited by a moderator:
Wakuu hata mimi nilipata tatizo na simu yangu iPhone 3gs baada ya ku update ios to 6.1.6 from 4.3 yenye bb 05.16.00 bas simu haisomi laini yoyote ipo SEARCHING...., NO SERVICE. Nimejail break na mautundu mengi ila waap. Simu ipo km kopo now
 
Kaka vipii kuhusu ombi langu la compatible custom ROM ya tecno H5 version 4.2.2 jelly bean??
ni vigumu kupata custom rom kwa simu hizi za kichina labda kama unaweza kucustomize mwenyewe
 
ni vigumu kupata custom rom kwa simu hizi za kichina labda kama unaweza kucustomize mwenyewe

Mkuu kuna s4 copy ndg yang alinitumia toka philipines, kati ya izo moja haishiki network kabisa, ukiingia ndan kwenye settings ile sehem ya mobile networks ipo mute kabisa.

Nilisha wapa watu kujaribu no success yan hata pale juu ukiiwasha haina alama ya mnara, watu walisema ni imei ikawekwa no response

Kazi nyingine tofaut na kupiga simu inafanya, hata ukifanya internet tethering mzigo kama kawa, tatizo ni net tu.

Siku niliingia engeneering mode, nilichofanikiwa kukiona tofauti na simu nyingine ndan huko ni sehem ilikuwa imeandikwa Gsm radio: off

Wakati simu nyingine nilizo explore zilionesha gsm radio : on

Sasa mpka leo ipo tu sijui tatizo ni nini? Na ni hardware au software

Msaada tafadhali
 
mkuu nimejaribu kwa tecno p5 ila nikichomeka wala MTK haidetect nifanyaje
 
make sure driver za simu zimekuwa installed kwanza

ILE loader inalod bila mafanikio yyte ila ulisema ikizingua bas udownlod driver kwalink uloweka apo juu but nimeitafuta cjaipata ya tecno naona za cm nyngne tu kama itel G5 na nyngnezo
 
taja na simu aina gani maana mtk 6572 ni chip, simu clone zote zenye chip hii basi zinaandikwa mtk6572 ila utakuta zipo s4, s3 na zingine

DUU KWELI JF NI KISIMA CHA AJABU,,NAMI NA SWALI. UNAWEZA JIFUNZA KWA MUDA GANI UKAJUA,(ukaanza kufanya kazi za wa2) 2 software na hardware ipi dili
 
c6 naomba contact zako tafadhali..niko juu ya mawe now dayz,,nataka kujifunza hii kazi nitatumia muda gani? computer najua kdg,,,na nimtundu kiasi.
 
Jamani Nina huawei 530 nataka niifanyie majaribio ya kuweka custom rom vipi wataalamu nitapata wapi hizo rom
 
DUU KWELI JF NI KISIMA CHA AJABU,,NAMI NA SWALI. UNAWEZA JIFUNZA KWA MUDA GANI UKAJUA,(ukaanza kufanya kazi za wa2) 2 software na hardware ipi dili

Mkuu, mi sio fundi wala sijasomea ufundi, sema ni mtundu tu na uwa nafurahia kushea ideas nnazozigundua. Rafiki mkubwa ni google ana msaada mkubwa sana
 
Back
Top Bottom