hapo unabadilishaje imei, au kurudisha imei iliyopotea?kama mwezi umepita nahangaika na ile samsung s4 clone ya mdogo wangu ambayo inajirestart kila muda mpaka betri iishe chaji Wataalamu wa simu za android clone , nimehangaika nayo, mafundi wa mwanza chali, juzi nimeenda kariakoo fundi akaniambia iyo lete 30k nikampa ikamshinda nikaenda kwa wawili watatu chali, sasa nikaamua kutake matter in my hands, jana nimefanikiwa kuiflash na kuiroot kabisa, nikaona si vibaya kushare ugunduzi wangu huu....
Jinsi ya kuflash simu zenye MediaTek chipsetnaamini clone zote zinatumia mtk pia nahisi hata za tecno nazo zina hii chipset
1. anza kwa kuandaa mazingira ya kuflash simu yako ambayo labda iko bricked, au ina tatizo lolote kama hii yangu iliyokuwa inajirestart muda wote
vitu unavyohitaji ni
a.) drivers za simu (kama chip yako ni MT65xx family download hapa) na
b.) Smart Phone flash tool download hapa
c.) Mtk Droid Tools download hapa
d.) ROM / firmware ya simu yako (hakikisha ni rom sahihi kwa model ya simu yako) Rom karibia zote zinapatikana hapa
2. Tuanze sasa
a.) chomeka simu yako na iache ifanye installation ya driver zote, kama zingua install driver hapo juu(kama simu yako ni mt65xx)
b.)kwa sababu simu za clone hazijulikani model maana zina imitate original, basi tutatumia MTK droid tool kujua model ya simu yetu. fungua application na uiache italeta details zote kuhusu simu
c.) tayari taarifa za simu tumezipata , kinachofuata hapo ni kudownload firmware specific kwa ajili ya simu yetu. ROM/firmware zipo hapa (ili kudownload inabidi ujisajili kwanza) pia unaweza kugoogle utapata tu. hakikisha una extract na ndani kuwe na faili MT(model ya simu yako)_Android_scatter.txt (hakikisha kuna neno scatter kwenye jina la hili file)
d.) hapo sasa kila kitu tunacho tunaweza kuanza kuflash simu yetu...
i. ichomoe simu, kisha fungua SP flash flash tools, sehemu ya scatter-loading file weka lile .txt file nililokwambia limo kwenye folder uliloextract kule juu
pia nenda options > usb mode iwe ticked pia hapohapo kwenye options angalia DA download all > Speed > force high speed inakuwa checked
ii. click download kisha iache (usichomeke simu kwanza mpaka imalize) ikimaliza chomeka simu bila betri ukisikia mlio wa simu imekuwa connected kwenye pc haraka rudisha betri bonyeza "firmware -> upgrade" kisha tulia itaanza kuflash simu
ii. kama kila kitu kimeenda sawa utaona progress kwa rangi ya njano kama kuna makosa itatokea rangi nyekundu na maelezo
ikikamilisha successiful, itaonesha kiduara cha kijani
hapo sasa unaweza chomoa simu yako na kuiwasha na utaona inaanza kama mpya vile....
ukipenda unaweza kuiroot, kubadili IMEI, kuondoa application za kichina zote kwa kutumia MTK Droid tools
TAHADHARI: SITAHUSIKA KAMA UTAHARIBU SIMU YAKO, TRY AT YOUR OWN RISK
Download mtk engineering mode apk kisha fuata maelekezo namna ya kuweka imeihapo unabadilishaje imei, au kurudisha imei iliyopotea?
kama mwezi umepita nahangaika na ile samsung s4 clone ya mdogo wangu ambayo inajirestart kila muda mpaka betri iishe chaji Wataalamu wa simu za android clone , nimehangaika nayo, mafundi wa mwanza chali, juzi nimeenda kariakoo fundi akaniambia iyo lete 30k nikampa ikamshinda nikaenda kwa wawili watatu chali, sasa nikaamua kutake matter in my hands, jana nimefanikiwa kuiflash na kuiroot kabisa, nikaona si vibaya kushare ugunduzi wangu huu....
Jinsi ya kuflash simu zenye MediaTek chipsetnaamini clone zote zinatumia mtk pia nahisi hata za tecno nazo zina hii chipset
1. anza kwa kuandaa mazingira ya kuflash simu yako ambayo labda iko bricked, au ina tatizo lolote kama hii yangu iliyokuwa inajirestart muda wote
vitu unavyohitaji ni
a.) drivers za simu (kama chip yako ni MT65xx family download hapa) na
b.) Smart Phone flash tool download hapa
c.) Mtk Droid Tools download hapa
d.) ROM / firmware ya simu yako (hakikisha ni rom sahihi kwa model ya simu yako) Rom karibia zote zinapatikana hapa
2. Tuanze sasa
a.) chomeka simu yako na iache ifanye installation ya driver zote, kama zingua install driver hapo juu(kama simu yako ni mt65xx)
b.)kwa sababu simu za clone hazijulikani model maana zina imitate original, basi tutatumia MTK droid tool kujua model ya simu yetu. fungua application na uiache italeta details zote kuhusu simu
c.) tayari taarifa za simu tumezipata , kinachofuata hapo ni kudownload firmware specific kwa ajili ya simu yetu. ROM/firmware zipo hapa (ili kudownload inabidi ujisajili kwanza) pia unaweza kugoogle utapata tu. hakikisha una extract na ndani kuwe na faili MT(model ya simu yako)_Android_scatter.txt (hakikisha kuna neno scatter kwenye jina la hili file)
d.) hapo sasa kila kitu tunacho tunaweza kuanza kuflash simu yetu...
i. ichomoe simu, kisha fungua SP flash flash tools, sehemu ya scatter-loading file weka lile .txt file nililokwambia limo kwenye folder uliloextract kule juu
pia nenda options > usb mode iwe ticked pia hapohapo kwenye options angalia DA download all > Speed > force high speed inakuwa checked
ii. click download kisha iache (usichomeke simu kwanza mpaka imalize) ikimaliza chomeka simu bila betri ukisikia mlio wa simu imekuwa connected kwenye pc haraka rudisha betri bonyeza "firmware -> upgrade" kisha tulia itaanza kuflash simu
ii. kama kila kitu kimeenda sawa utaona progress kwa rangi ya njano kama kuna makosa itatokea rangi nyekundu na maelezo
ikikamilisha successiful, itaonesha kiduara cha kijani
hapo sasa unaweza chomoa simu yako na kuiwasha na utaona inaanza kama mpya vile....
ukipenda unaweza kuiroot, kubadili IMEI, kuondoa application za kichina zote kwa kutumia MTK Droid tools
TAHADHARI: SITAHUSIKA KAMA UTAHARIBU SIMU YAKO, TRY AT YOUR OWN RISK
Nili install iyo app lakn I nasema sim haiwez kurunDownload mtk engineering mode apk kisha fuata maelekezo namna ya kuweka imei
Hiyo app ni kwaajil ya simu za mtk tuNili install iyo app lakn I nasema sim haiwez kurun
Tumia menu hii *#*#3646633#*#*Nili install iyo app lakn I nasema sim haiwez kurun
ok powa, na vipi ni platform za mtk tu pekee ndo zenye app za kugenerate imeiTumia menu hii *#*#3646633#*#*
Kipindi cha awali simu yangu ilikuwa inaonesha IMEI sawa na simu husika, hivyo kuonesha ni ORIGINAL ila baada ya kuwa inanizingua nikafanya Hard reset/ Factory reset ambayo imebadili IMEI kwa sasa!! Nikituma IMEI kwenda no ya TRCA 15090 baada ya KUPIGA*#06# inaleta IMEI mpya na Jina jipya la simu ambalo haliendani na simu husika!Tumia menu hii *#*#3646633#*#*
Simu yako ni aina gani?Kipindi cha awali simu yangu ilikuwa inaonesha IMEI sawa na simu husika, hivyo kuonesha ni ORIGINAL ila baada ya kuwa inanizingua nikafanya Hard reset/ Factory reset ambayo imebadili IMEI kwa sasa!! Nikituma IMEI kwenda no ya TRCA 15090 baada ya KUPIGA*#06# inaleta IMEI mpya na Jina jipya la simu ambalo haliendani na simu husika!
BB Chip ni MT 65**, Android version 4.4.2. Nomba msaada wako jinsi ya kurudisha IMEI ya zamani kabla ya TCRA kuizia simu yangu.
CC: UncleUber , CHIEF MKWAWA
Mkuu msaada wako nmuhimu kwenye hii sim yangu vinginevyo nmekwisha....simu yangu ni Lg 2 og kabisa tatizo lilikuja hii simu ilitolewa IMEI no yake na nkipiga*#06# naletewa 0 na kwenye mfuniko wake wa hii simu kuna imei no nmetuma TCRA wananiambia simu yako orignal. Sasa kiongozi naomba utangulizi wako nfanyaje ili hii Imei iweze kuonekana kwenye simu yanguDownload mtk engineering mode apk kisha fuata maelekezo namna ya kuweka imei
Hapana hata spreadtrumok powa, na vipi ni platform za mtk tu pekee ndo zenye app za kugenerate imei
Mkuu kwa maarifa yangu kuhusiana na namna ya kubadili IMEI ni kwa njia mbili ya kwanza niMkuu msaada wako nmuhimu kwenye hii sim yangu vinginevyo nmekwisha....simu yangu ni Lg 2 og kabisa tatizo lilikuja hii simu ilitolewa IMEI no yake na nkipiga*#06# naletewa 0 na kwenye mfuniko wake wa hii simu kuna imei no nmetuma TCRA wananiambia simu yako orignal. Sasa kiongozi naomba utangulizi wako nfanyaje ili hii Imei iweze kuonekana kwenye simu yangu
Ahsante kwa kunireply.Simu yako ni aina gani?
Ila kwa kuwa umesema ni mt bas tumia hii link kudownload application ya kuingiza IMEI
mtk-engineering-mode.en.uptodown.com/android
Ingia Google andika MTK ENGINEERING MODE APK DOWNLOAD alaf zitakuja link nyingi ila itakuwa vzur ukichagua link iliyokwenye mtandao wa 'uptodownload" na hyo apk ina kb kama 169 ni ndogo sana download na uinstal baada ya hapo ikifanikiwa kuingia nitakupa maelezo mengineAhsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Sorry, naona kama hii Link haiko Active?
Link hyoAhsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Mkuu Idea ya IT niliyo nayo ni ndogo. Maelezo Tafadhali ndg. Nikisha download afu nafanyeje kuirudisha IMEI ya awali? Make ninayo naikumbuka
Mkuu nakuwekea link hapa chini ni nzur kwa maelekezo ya hatua kwa hatua namna ya kurudisha imei ya awal kutokana na hyo program uliyoidownload mwanzoAhsante kwa kunireply.
MS Board: mobistel
Model no: Cynus F6
Mkuu Idea ya IT niliyo nayo ni ndogo. Maelezo Tafadhali ndg. Nikisha download afu nafanyeje kuirudisha IMEI ya awali? Make ninayo naikumbuka
Daah nashukuru sna mkuu. Maelezo yako clear sn.Mkuu nakuwekea link hapa chini ni nzur kwa maelekezo ya hatua kwa hatua namna ya kurudisha imei ya awal kutokana na hyo program uliyoidownload mwanzo
HOW TO FIX INVALID IMEI {3 METHODS} | Micromax unite 2 official
Sio mjuaj sana kama nakosea wataalamu wanaweza nisahihisha