Jinsi ya kuflash simu aina zote

Mkuu msaada wako nmuhimu kwenye hii sim yangu vinginevyo nmekwisha....simu yangu ni Lg 2 og kabisa tatizo lilikuja hii simu ilitolewa IMEI no yake na nkipiga*#06# naletewa 0 na kwenye mfuniko wake wa hii simu kuna imei no nmetuma TCRA wananiambia simu yako orignal. Sasa kiongozi naomba utangulizi wako nfanyaje ili hii Imei iweze kuonekana kwenye simu yangu
hata mimi pia nina lg g2 ilipoteza imei baada ya kupgrade tu
 
Binafsi sijawahi kusikia chuo wanachofundisha kozi hiyo,isipokuwa watu wengi hujifunza kwa watu wenye ofisi zao na uzoefu katka kazi hiyo, mimi binafsi niemwahi kufundisha watu ktk ofisi yangu siku za nyuma na nikagundua vitu muhimu viwili,kwanza unaweza kumfundisha mtu kwa kumpa lectures na akwa anachuka hata notes lakini mwisho wa siku akashindwa kufanya kazi, pili ukamchukua mtu hata shule hajasoma kabisa lakini ukakaa nae ofissini baada ya miezi michache utakuta anajua kuflash na kutengeneza vizuri sana! sasa hapo kama ni mtu mkomaaji kwenye forums na ameisha jifunza kazi kwa vitendo basi atakuwa mtalaam safi kabisa!
Mkuu na mim napenda sana vtu hivi, ebu nisaidie nahtaji kujifunza ata kama ni kwa ada kidogo nipo tayari. Nielekeze ofisin kwako nije tuzungumze. Ajira cku hizi ngumu so inabidi tujiajiri wenyewe.
 
Mwenye kufahamu njia nzuri ya ku-downgrade version ya simu ya Xiaomi note 4X naomba anielekeze.
 
wakuu habari..?...nina tecno C9 inatatizo la kujizima na kujiwasha yenyewe pia wi-fi haifunction yaani inagoma kuswitch on Tatizo ni nini?

msaada wa kimaelekezo ujuzi wangu ni mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom