asante kwa maelekezo.kama sijakose nadhani ni makutano ya uhuru na swahili. Leo nitaku pm nikupe contact za NAHEEM kisha utajribu kutathmin.hapo utapata kila aina ya mabox ila anza na hayo ambayo yamependekezwa na wadau.
asante kwa maelekezo.kama sijakose nadhani ni makutano ya uhuru na swahili. Leo nitaku pm nikupe contact za NAHEEM kisha utajribu kutathmin.hapo utapata kila aina ya mabox ila anza na hayo ambayo yamependekezwa na wadau.
Mauweeee!!.HAYA SASA. Unataka kuua simu za watu, wewe huna hata kaujuzi kadogo ka haya masuala lakini {unangangania}, au unataka kuwa kama kinyozi kujifunzia vichwani kwa watu. Ukisikia kuflash simu unachukulia kama toilet tu. nimempenda huyo aliye ulizia kuhusu vyuo au mahali pa kujifunzia lakini hakuana alie mjibu
Lkn bro kumbe hakuna kifaa maalum ambacho unaconect na pc
Ndo kinaweza kuflash cm ?
Usb tu unaweza kulash cm ?
Kwa hapa kwetu Bongo ni vyuo gani vinavyotoa kozi hizo za ufundi wa simu kwa undani?
kama mwezi umepita nahangaika na ile samsung s4 clone ya mdogo wangu ambayo inajirestart kila muda mpaka betri iishe chaji https://www.jamiiforums.com/tech-ga...76587-wataalamu-wa-simu-za-android-clone.html , nimehangaika nayo, mafundi wa mwanza chali, juzi nimeenda kariakoo fundi akaniambia iyo lete 30k nikampa ikamshinda nikaenda kwa wawili watatu chali, sasa nikaamua kutake matter in my hands, jana nimefanikiwa kuiflash na kuiroot kabisa, nikaona si vibaya kushare ugunduzi wangu huu....
Jinsi ya kuflash simu zenye MediaTek chipsetnaamini clone zote zinatumia mtk pia nahisi hata za tecno nazo zina hii chipset
1. anza kwa kuandaa mazingira ya kuflash simu yako ambayo labda iko bricked, au ina tatizo lolote kama hii yangu iliyokuwa inajirestart muda wote
vitu unavyohitaji ni
a.) drivers za simu (kama chip yako ni MT65xx family download hapa) na
b.) Smart Phone flash tool download hapa
c.) Mtk Droid Tools download hapa
d.) ROM / firmware ya simu yako (hakikisha ni rom sahihi kwa model ya simu yako) Rom karibia zote zinapatikana hapa
2. Tuanze sasa
a.) chomeka simu yako na iache ifanye installation ya driver zote, kama zingua install driver hapo juu(kama simu yako ni mt65xx)
b.)kwa sababu simu za clone hazijulikani model maana zina imitate original, basi tutatumia MTK droid tool kujua model ya simu yetu. fungua application na uiache italeta details zote kuhusu simu
c.) tayari taarifa za simu tumezipata , kinachofuata hapo ni kudownload firmware specific kwa ajili ya simu yetu. ROM/firmware zipo hapa (ili kudownload inabidi ujisajili kwanza) pia unaweza kugoogle utapata tu. hakikisha una extract na ndani kuwe na faili MT(model ya simu yako)_Android_scatter.txt (hakikisha kuna neno scatter kwenye jina la hili file)
d.) hapo sasa kila kitu tunacho tunaweza kuanza kuflash simu yetu...
i. ichomoe simu, kisha fungua SP flash flash tools, sehemu ya scatter-loading file weka lile .txt file nililokwambia limo kwenye folder uliloextract kule juu
pia nenda options > usb mode iwe ticked pia hapohapo kwenye options angalia DA download all > Speed > force high speed inakuwa checked
ii. click download kisha iache (usichomeke simu kwanza mpaka imalize) ikimaliza chomeka simu bila betri ukisikia mlio wa simu imekuwa connected kwenye pc haraka rudisha betri bonyeza "firmware -> upgrade" kisha tulia itaanza kuflash simu
ii. kama kila kitu kimeenda sawa utaona progress kwa rangi ya njano kama kuna makosa itatokea rangi nyekundu na maelezo
ikikamilisha successiful, itaonesha kiduara cha kijani
hapo sasa unaweza chomoa simu yako na kuiwasha na utaona inaanza kama mpya vile....
ukipenda unaweza kuiroot, kubadili IMEI, kuondoa application za kichina zote kwa kutumia MTK Droid tools
TAHADHARI: SITAHUSIKA KAMA UTAHARIBU SIMU YAKO, TRY AT YOUR OWN RISK
C6 hebu nisaidie mawazo kidogo nina samsung ya kichina ni i8190 MT6575 nimepata ROM yake vzr na nikifuata procedure hapo juu inaenda hadi mwisho ila ukiwasha kioo kinakuwa cheupe na hakuna kinachoendelea zaidi ya kusikia iki vibrate kidogo tu....
First boot! baada ya kuflash inachukua muda inabidi usubirie, kama ime vibrate ndio ipo katika prosses.C6 hebu nisaidie mawazo kidogo nina samsung ya kichina ni i8190 MT6575 nimepata ROM yake vzr na nikifuata procedure hapo juu inaenda hadi mwisho ila ukiwasha kioo kinakuwa cheupe na hakuna kinachoendelea zaidi ya kusikia iki vibrate kidogo tu....
wakati unaanza kuweka rom hakukuwa na neno lolote kuonesha kulikuwa na makosa popote?
kwanza tafuta rom ya simu yako. kisha fuata step pale juu...
fuata haya maelekezo ROM S3 Mini i8190 MT6575 | [Official] add the 01/17/2014 on NeedromC6 hebu nisaidie mawazo kidogo nina samsung ya kichina ni i8190 MT6575 nimepata ROM yake vzr na nikifuata procedure hapo juu inaenda hadi mwisho ila ukiwasha kioo kinakuwa cheupe na hakuna kinachoendelea zaidi ya kusikia iki vibrate kidogo tu....