Jinsi ya kuflash simu aina zote

Jamani Nina huawei 530 nataka niifanyie majaribio ya kuweka custom rom vipi wataalamu nitapata wapi hizo rom

Kuna custom recovery ya cwm nimeitest iko poa sijui kama ya trwp ipo, sijaona custom roms so far ila unaweza tengeneza yako kutoka official rom
 
Nakushauri uwaone TCRA pia wakupe utaratibu wakufanya izo biashara maana kila mtu akiflash simu tutashindwa kutrack simu zetu zinazoibiwa.
 
Wakuu naombeni kujua gharama ya universal box na hizo nyingine na wapi zinapatikana
 
Kuna custom recovery ya cwm nimeitest iko poa sijui kama ya trwp ipo, sijaona custom roms so far ila unaweza tengeneza yako kutoka official rom

Thanx mkuu kutengeneza naona itakuwa ngumu kwangu ngoja niendelee kusubiri may be itakuja toka
 
unakwama wapi? hizo ndio simplified kaka nimejaribu kuzielezea kwa wepesi inavyowezekana, kama unakwama mahali niambie nikusaidie

Mkuu C 6 tafadhali naomba unipm namba yako, nimeguswa na topic hii.
 
Mimi mwenyewe nataka Box la volcano au GPG kama vp nipeni bei make nshahangaika zaid ya maelezo!
 
Ninafaidika sana na comments zenu! Japo nabaki na maswali machache!
1. Volcano box ni kiasi gani Tsh.?
2. Universal ni kiasi gani Tsh ?
Mwisho ni duka/ofisi uhakika gani zinauzwa ?
 
@ C6 NA WENGINEO: naweza pata wapi walimu wa kufundisha kuflash simu aina zote MIMI NIKO TABATAkinyerezi na inagharimu kiasi gani na inachukua muda mtu kumaliza masomo.
 
Volcano box ninazo mbili ukiitaji moja nakuzi boss.whatsapp 0754604567
 
Back
Top Bottom