City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Kwa Mke Big Noooooooo. The rest sawaaaa
Ubarikiwe mnooo teh ujazwe wewe na wallet yakoJamani. Mwanamke aliumbwa kumtegemea mwanaume. Tutake tusitake hivyo ndivyo ilivyo. Mwanamke anategemea mwanaume awe mlinzi na kinga yake. Hivyo unavyomtongoza tegemea hilo. Umkinde kwa kila kitu, usalama, chakula, nguo, urembo, n. k.
Kama hamtaki kuwalinda msiwatongoze.
Nnao mzinga ntaulipua hapo kwakoWanaume wa DSM hatuko hivo, hatukwepi mizinga! Mdada mwenye mzinga pse, auelekeze kwangu!
Wacha tukafie mbelee tuu nasema tumechokaaaaaa bora ninue malaya tu kuliko kuwa na mdada hana tofauti na malaya.Mzinga hutaki kuchat unataka, wakati hata hizo sms mnazochat zimetolewa hela mkafie mbali huko mfyuuu
Bad girl gone good?...I beg to differ...Good Girl Gone BadMzinga hutaki kuchat unataka, wakati hata hizo sms mnazochat zimetolewa hela mkafie mbali huko mfyuuu
Hahaha dah basi tena wameshaniwahi. LolSenior nimeolewa kaka na mtoto mmoja unataka kunishambulia nini lol.
Umeadimika sana bad boy.....Bad girl gone good?...I beg to differ...Good Girl Gone Bad
Kwendraaa kwani mnalazimishwa nasi tumechokaaaaaa kuona kind ya vimwanaume vinavojiliza kama vimefiwaWacha tukafie mbelee tuu nasema tumechokaaaaaa bora ninue malaya tu kuliko kuwa na mdada hana tofauti na malaya.
Hahahahaha ila usiku usianze kuliaa oooh kibajaji pale jf nilikuwa natania tyuuu mpenz ntakutoa ndukriiiiiKwendraaa kwani mnalazimishwa nasi tumechokaaaaaa kuona kind ya vimwanaume vinavojiliza kama vimefiwa
Tena heri MUANZISHE KIKUNDI MUWE MNAKODISHWA KULIA MISIBANI TUMEVICHOKA VILIO VYENU HUMU MNATUPIGIA KELELE MANEENAH!!!!!!Hahahahaha ila usiku usianze kuliaa oooh kibajaji pale jf nilikuwa natania tyuuu mpenz ntakutoa ndukriiiii
Unamsikiliza, alafu humpi. PeriodUkiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.
KWA MFANO:
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''
2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''
3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.
Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''
Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako
Huko kwa wacheza basketball ntaingia majaribuni 😀Tatizo Nilipo Hupo...
HAPA
Baadhi wanapita hukohuko kwenye pesa ya mtaji baadae anasema biashara imeenda vibaya, kuwa makini zaidi.Mademu wa kibongo hawapendi kutafuta ndio maana hawana thamani wao kazi kuomba omba tu!!mi mwanamke aniombe hela ya mtaji sio vizinga vya kijinga kama nimempenda na kumuelewa na ninamuona kweli ana akili nampa lakini vizinga vinakera huwa namtoa thamani sana mwanamke anayeombaomba hela,hawataki kufanya kazi wanaamini kupanua miguu ndio solution ya maisha!!!mademu wa kibongo njaa tupu hafikirii kutafuta pamoja yeye anataka atafutiwe ukiuliza anajiona mzuri kweli wapumbavu, wazuri wako wengi na uzuri unaisha wanabaki kuchezewa na kutupwa kama vizibo vya soda!!
Nimesema kama nimempenda na nimemuona ana akili, biashara ikienda vibaya atajua mwenyewe, unaanza kwa kumpa hela mbuzi unamcheki anavyoenda kama anaenda vzr unamuongezea kama haeleweki sio umsaidii unampiga chini kabisaBaadhi wanapita hukohuko kwenye pesa ya mtaji baadae anasema biashara imeenda vibaya, kuwa makini zaidi.