Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Haaaaaaa jamani ahsante ila mme yupo....ulikuwa wapi ungekuwa unaenda dinner saa hizi.haaaaa
Daaaah heshima kwake mumeo kabahatika kupata mke anaye jielewa.tatizo na sisi tukipendwa hatujielewi mpaka tukishawapoteza ndio akili hungufuka na kuwa to late....heko kwako mdada
 
hivi ni kweli wanawake wanaomba hela kiasi hiki? maana itz too much wanavyotangazwa& ina maana wao hawatafuti hela zao forsa ziko nyingi hadi wawe ombaomba alowafukuza Makonda ni aibu hizi!
Wenzio washazoe kuteleza kwenye mteremkoo kupanda mlima hawawezi
 
Wanawake wengi wamewapoteza wanaume wengi ambao huenda walikuwa wakiwapenda kwa dhati na pia wakiwa na malengo makubwa juu yao kutokana na wanawake hao kutokuwa na subira.

Hata kama we mwanamke una shida kiasi gani, kwa kweli ni jambo la aibu kwa mara ya kwanza kufahamiana na mwanaume fulani mara moja ukaanza kumweleza shida zako. Hata kama mwanaume alikupenda kiasi gani, tendo hilo peke yake linaweza kumvunja moyo wa kuendeleza ukaribu na wewe.

word
 
Wenzio washazoe kuteleza kwenye mteremkoo kupanda mlima hawawezi


imezidi aisee mpenzi unatakiwa uwe naye for leisure na sio economy!. eeehh hayo maisha ni magumu sana kazi zakujipatia rizki ni nyingi mno kuliko kukaa kusononeka mzinga haujakubali nikujitesa tu kwakweli kwanza kujitegemea kuna raha yake akijisikia akupe poa asipokupa maisha poa.

huo utumwa wakujiuza wataacha lini?? maana bila vizinga huishi ni laxima uwe na buzi ati foolish.
 
hapo chacha, wao wenyewe wajiweka matawi wa juu, anataka kujionyesha anazo kwa msichana
Na hilo neno pia mwanaume mwingine ana hakikisha anafunguwa na wallet imejaa noti huku akijionyesha muache kuwatamanisha na wenzenu kwa makusudi.au ataanza historia yake nna nyumba mbili gari 4 naendesha hiki.mara nikupe nini sasa nao wadada wanafikiri eee kumbe mwanaume ndo anatakiwa kufanya hivyi.na dunia ya sasa kila mtu anasema hamnamapenzi ya kweli kwahiyo kila mmoja anataka kumtumia mwenzie.tungekuwa na mapenzi ya kweli haya yote yasingetokea
 
Jamani. Mwanamke aliumbwa kumtegemea mwanaume. Tutake tusitake hivyo ndivyo ilivyo. Mwanamke anategemea mwanaume awe mlinzi na kinga yake. Hivyo unavyomtongoza tegemea hilo. Umkinde kwa kila kitu, usalama, chakula, nguo, urembo, n. k.
Kama hamtaki kuwalinda msiwatongoze.
Ndoa nyingi zimeingia kwenye migogoro na baadhi zimevunjika kwa upuuzi wa namna hii. Kuna umuhimu wa wanawake ku revisit mtazamo huu
 
Trick za nini. Nitaomba tu ikibidi..ukitaka utanipa..usipotaka usinipe. Ukiniambia sina ni poa pia maisha yanasonga. Wapo waelewa wengi tu wanatupa kwa moyo mmoja na hawana malalamiko wanatambua wajibu wao. Si lazima umpe mkuu. Baki hivyo hivyo na msimamo wako.
mkuu jiwe la gizani humpata yeyote! ukisikia uwiiiiiii! uwiiiiiiiii! ujue sindano imepenya na dawa imo kwente mishipa tayari
 
Kweli wewe chizi freshi. Utegemezi huo haukuundwa na binadamu. Ni wa asili. Huwezi kuikwepa asili.
Utegemezi umelelewa kiasi cha kuvuka mipaka. Kuna changamoto zake najua na nadhani ndiyo maana waarabu wameamua mwanamke awe ni chombo cha starehe tu. "Sorry kwa hili lakini"
 
Utegemezi umelelewa kiasi cha kuvuka mipaka. Kuna changamoto zake najua na nadhani ndiyo maana waarabu wameamua mwanamke awe ni chombo cha starehe tu. "Sorry kwa hili lakini"
Sasa tumeenda sawa. Asante
 
Mzinga hutaki kuchat unataka, wakati hata hizo sms mnazochat zimetolewa hela mkafie mbali huko mfyuuu
 
Back
Top Bottom