Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 320
Wanawake wengi wamewapoteza wanaume wengi ambao huenda walikuwa wakiwapenda kwa dhati na pia wakiwa na malengo makubwa juu yao kutokana na wanawake hao kutokuwa na subira.Trick za nini. Nitaomba tu ikibidi..ukitaka utanipa..usipotaka usinipe. Ukiniambia sina ni poa pia maisha yanasonga. Wapo waelewa wengi tu wanatupa kwa moyo mmoja na hawana malalamiko wanatambua wajibu wao. Si lazima umpe mkuu. Baki hivyo hivyo na msimamo wako.
Hata kama we mwanamke una shida kiasi gani, kwa kweli ni jambo la aibu kwa mara ya kwanza kufahamiana na mwanaume fulani mara moja ukaanza kumweleza shida zako. Hata kama mwanaume alikupenda kiasi gani, tendo hilo peke yake linaweza kumvunja moyo wa kuendeleza ukaribu na wewe.