Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Jinsi ya kuepuka mizinga ya wadada

Huwezi sikia demu hata siku moja anakwambia,nikwambie dad wangu;Leo Nina ngenye twende unikaze!!!Utasikia yaani Leo nipo home nimelala cna hata mia ya kwenda town saloon,mtatishaaaaaàaaaaa,
ha haaaaaa
 
Honestly baadhi yenu,wanawake badilikeni Jaman....
Imenitokea hii Jana tu,nilionana na mdada ambaye tulisoma wote o level miaka hyo, baada ya yeye kuniomba tuonane Jana...yaliyonikuta nimeishiiiiia kucheka tu na kumsikitikia..
Yeye ameshaolewa na mim sijaoa, ila tulivyoonana Jana,basi alikuja na rafik yake maeneo flani hiv,wamekula wamekunywa weee bia , japo mi situmii kilev nikawa nawasomaa tu,mda ulipozid kwenda nikamuaga niondoke sababu nakaa mbali kidogo....
Hahaha et akaniuliza "Nikwambie kitu"?
Nikajua tu huu mznga.
"Eti naomba utupatie nauli"...
Sikulaza damu,nikamwambia hapa nimebakiza Mia 4 tuu,na aliziona wakat zimerudishwa na waitress, nikamwambia subili nikakutolee ATM ,maana sikua nimepangilia kuja kusastain gharama zake na best yake, au Nikutumie kwa Sim maana hapa had niende atm then niwatumie,akasema poaaa....nilipowasha gari na kusepa,sikupokea Sim yaake tena wala SMS,sabab nimemuona ni mswahil sanaaa.....Dah baadh ya madada badiliken msiwe Majipuu....

Sasa MTU hamna mahusiano yeyote then unataka unifanye ATM, thn sipend mwanamke tegemez yaan..
 
Jamani. Mwanamke aliumbwa kumtegemea mwanaume. Tutake tusitake hivyo ndivyo ilivyo. Mwanamke anategemea mwanaume awe mlinzi na kinga yake. Hivyo unavyomtongoza tegemea hilo. Umkinde kwa kila kitu, usalama, chakula, nguo, urembo, n. k.
Kama hamtaki kuwalinda msiwatongoze.
 
Huwezi sikia demu hata siku moja anakwambia,nikwambie dad wangu;Leo Nina ngenye twende unikaze!!!Utasikia yaani Leo nipo home nimelala cna hata mia ya kwenda town saloon,mtatishaaaaaàaaaaa,
Ndo tumeumbwa hivyo. Mtuzoeee.
Mimi namuomba yule ambaye nipo kwenye mahusiano nae na tena mahusiano ambayo yameshaimarika nisipo muomba yeye nikamuombe nani? Lakini pia huwa sipendi kuomba kila mara maana najua ni kero na pia si kila siku mwanaume anayo hela, na kama akiniambia hana huwa namuelewa na sio tatizo kwangu .ukiona nimeomba basi nimekwama hasa. Hao madem wanaowapiga mizinga kizembezembe hivyo mnawatoaga wapi? Labda nyie mnavyotongoza mnajidai mafogo..hapo mtapigwa mizinga kila siku.
 
Very simple, hakuna kutuma hela, anakuja kuichukua kwa mkono na atanikuta gesti

Anatoa service then ndo anapata stahiki yake, not necessarily apate alichoomba though
ha haaa umetisha....so hakuna cha mpesa wala tigo pesa
 
Ndo tumeumbwa hivyo. Mtuzoeee.
Mimi namuomba yule ambaye nipo kwenye mahusiano nae na tena mahusiano ambayo yameshaimarika nisipo muomba yeye nikamuombe nani? Lakini pia huwa sipendi kuomba kila mara maana najua ni kero na pia si kila siku mwanaume anayo hela, na kama akiniambia hana huwa namuelewa na sio tatizo kwangu .ukiona nimeomba basi nimekwama hasa. Hao madem wanaowapiga mizinga kizembezembe hivyo mnawatoaga wapi? Labda nyie mnavyotongoza mnajidai mafogo..hapo mtapigwa mizinga kila siku.
mayb ur a sheep in group of hyena
 
Tatty,wewe ni mmoja kati ya mia,ni wachache saana waliobarikiwa km wewe but most of 'em ni aibu imagine dem unakutana nae kisa umtongoze tu,utasikia dear;unajua dear sina hata buku mbili ya boda niende home sa cjui km hasingekuona angeenda kwao vipi ni shhhida,kweli mjirekebishe mnatutoa kwenye stimu ya malovelove
 
Very simple, hakuna kutuma hela, anakuja kuichukua kwa mkono na atanikuta gesti

Anatoa service then ndo anapata stahiki yake, not necessarily apate alichoomba though
Hahahahaa "quantum meruit" Mkuu
 
Tatty,wewe ni mmoja kati ya mia,ni wachache saana waliobarikiwa km wewe but most of 'em ni aibu imagine dem unakutana nae kisa umtongoze tu,utasikia dear;unajua dear sina hata buku mbili ya boda niende home sa cjui km hasingekuona angeenda kwao vipi ni shhhida,kweli mjirekebishe mnatutoa kwenye stimu ya malovelove
Buku mbili tu jamani? Mpe...halafu mwangalie tena siku nyingine kama ataomba. Na anaombaje.

Lakini na nyie kwanini msitoe bila kuombwa? Unakuta mtu mpo nae hata miaka mitatu hajawahi hata kujiongeza aseme ngoja nimpe mpenzi wangu buku kumi. Ni aibu! Hatuhitaji mtutunze kwa kila kitu lakini kuna vitu ni muhimu kabisa na ni wajibu wenu. Mkubali au mkatae...habari ndo hiyo.
Sikatai wanawake siku hizi wanapiga mizinga kijinga jinga.
 
As for me at times hela nitatoa ndio ila hizo dharau zake....harudii. Dem akijua umem undervalue aisee atajiona kinyaa sanaa.

Kuna siku nlitoka na dem flan sehem sehem tu akajikuta mlafi wa beer....nikamuagizia anabugia tu ki ulafi mi namuangalia tu mara nataka kula nikalipia buffet pia...Later baada ya kupiga show nikamkazia macho nikamuambia....

"Urn't of my standards and i seriously have lost taste in u nd u shud learn to make ur own money i ain't ur father"

Na baada ya show sijashoboka nae tena ili ajue she wasn't shit, yan nikimuona kama simjui, ilimsumbua sana. Yan kuna wengine kuongozana nao tu ni shida too many vizinga's hata kama ninayo hela huwa nawachana live sina.
 
Tatty,dalili ya mvua ni mawingu ukiona mwanzo wa buku ujue tayari hapo sipo,mimi nina uzoefu na hili ndo maana mdada akianza tu haya mie mbio zangu ,but wadada wataalam wa mizinga ht hawabohi anakuja kwa nauli yake unamkuta hotel kajiagizia kinywaji chake na chakula kalipa bill yake,unafika nawe unapigwa kinnywaji analipa halafu nawe unaanzia hapo m pk unabanjuka nae kweli hapo mie naingia mfukoni bila hiana na kwa u pendo bila manunguniko namtoa kiroho safi bila hata kuombwa
 
Back
Top Bottom