Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

Jinsi ya kuepuka maisha ya upweke

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,688
1.Jenga urafiki,jichanganye na watu
socialize.jpg

  • Kama ulikuwa na uhusiano ulovunjika anzisha uhusiano mpya
rrr.jpg


  • kama upo kwenye uhusiano au ndoa tumia muda mwingi kuwa na mwenza wako
forhold.jpg


  • kama una watoto,spend valuable time na watoto,fanyeni kitu kwa pamoja kama familia.

familiytur.jpg
baking.jpg
FAMILY.jpg

2.Fanya mambo mengi uwezavyo,nenda cinema,mazoezini,theatre,out na marafiki n.k
Unknown.jpg moviee.jpg
3.Pungunza malalamiko,kila mtu ana matatizo yake,be positive with everybody next to you.Shukuru kama umejaaliwa sehemu ya kuishi,milo mitatu kwa siku,afya njema,ndugu wanaokujali,watu wema wanaokuzunguka
grumbl.jpg positivity.jpg
4.Epuka uvivu tumia muda wako kufanya vitu unavyopendelea kama kuogelea,kusoma vitabu au majarida,kucheza mpira,kutembea au chochote kinachokupendezea
swimming.jpg
5.Tafuta kazi nzuri itakayokupa kipato cha kuotsha na cha kuridhisha
  • Kama ni mwanafunzi soma kwa bidii ili uwe na mafanikio baadae
nice career.jpg
6.Uwe na courage ya kukubali nafasi mpya zikijitokeza,mfano jirani yako akikuomba mufanye kitu pamoja kubali,huwezi kujua siku yako itaishiaje.
BRRR.jpg
7.Penda kutabasamu ni nzuri kwa afya yako.Tabasamu japo mara kumi kwa siku ukisalimiana na mtu tabasamu
smileee.jpg
 
Ulivyosema Smile umenifanya nimkumbuke Smile wa JF....
 
Last edited by a moderator:
Dr. mimi49 hapo sijakuelewa kuwa nianzishe uhusiano mpya how, nimtongoze mwanaume au??
kama kuna mtu anakufatilia na unaona anaweza kuwa na interest sawa na wewe inaweza kuwa ni wakati muafaka wa kumkubalia…au kama kuna mtu umetokea kumpenda unaweza kumueleza juu ya hisia zako vilevile🙂
 
for sure i love to see ma smile in ma face .... no one take ma joy never allow that again aiseee...
 
mara nyingi kukosa mpenzi kunaleta upweke, inashauriwa kama haupo kwenye mahusiano usipende kufatilia mahusianao ya wengine kwenye mitandao.
 
Mi mpenz wangu yuko mbali, nitaepukaje upweke! Je kamchepuko kanaweza nisaidia...lol!
 
unaweza kuishi vizuuri sana bila hata mchekpuko kwani hata mie wangu yuko mbali naishi
flesh na tena niko vizuri nikiona mambo hayo najitahidi kuomba na kusali kisha vinatoka kichwani mwangu
Mi mpenz wangu yuko mbali, nitaepukaje upweke! Je kamchepuko kanaweza nisaidia...lol!
 
Back
Top Bottom