Fafanua kidogo pls.
map zinauzwa si free... hata ukinunua gps devices za gari inabidi pia ukanunue map na kwa taarifa yako map ni ghali nililinunua gps ya gari hata mliman city zinauzwa laki 5 ila map hata pale mliman city walikua wanauza laki 6 ya east africa!

ni kwamba hii satelite map sio tu inakusaidia kujua mahali ulipo eg msamvu bali pia inakuonyesha pia sehem mbalimbali za hiko kieneo niliiona kwa rafiki yangu akaniambia niende kwenye google maps nikaenda lakini sikuiona sasa sijui mimi ndio sikuserch vizuri au ni mitambo ilizingua so if you have any idea help plz.
Iyo n73 sio Android uwezi pata kwenye google
Na cjui humo kwenye cm yako kama itakubali ingia nokia store ya N73 utaipata