Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Eleza vizuri..utamharibu vipi?...Ubongo unajikorogakoroga?
Mimi nawarusha sana wanangu...Usikute nawaandalia uzezeta!
Afu Wilbert1974 uwe unakuwa makini na hizo title, mi nimeingia nikiwa nimejiandaa kupata course ya kuchezea totoz, kumbe mtoto ORIGINAL!!?
Afu Wilbert1974 uwe unakuwa makini na hizo title, mi nimeingia nikiwa nimejiandaa kupata course ya kuchezea totoz, kumbe mtoto ORIGINAL!!?
Wakuu wote si ni TOTOZ tu!Sure!!!
Mods! mwongozo kuhusu neno totoz. Linatumiwa vibaya!
Hii kitu imejaa utata, kwanza nilidhani TOTOZ kumbe mtoto! Alafu nilidhani KUCHEZEA... kumbe kumbe kumrusha rusha juu mtoto. Ungeandika angalu hivi: Unapomrusharusha juu mtoto, fanya hivi.
Lazima uwe dhaifu weye! Kwani unapomrusharusha mtoto si ndo kumchezea huku?! Halafu umamrusha amekuwa ndege?!
Nimesema neno ni tata, inaweza kuwa kumloga au kumwandaa
Kunywa UJI nini...